kiukweli nimekosa kichwa cha habari cha hii mada

kiukweli nimekosa kichwa cha habari cha hii mada

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
[h=5]NINA NIA YA DHATI KABISA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015.
Mambo nitakayowafanyia
1.Nitawachekea chekea ili mnipigie makofi
2.Kila mazishi nitahudhiria
3.Nitapiga picha na wasanii wa mamtoni na waigizaji.
4.Kama una umbo namba 8 nitakuweka bunge wa viti maalum au
mkuu wa wilaya.
5.Nitaenda kupanda farasi kila mwisho wa mwezi mamtoni
6.Mabomu na vurugu zikitokea napanda pipa huyooo mamtoni.
7.Mke wangu atakuwa na mamlaka
8.Kijana wangu atakuwa kama mheshimiwa na lazima nitampatia
mali ya kifisadi.
9.Nitapanda pipa nivunje record kama Marco Pollo aliyesafiri
ulimwengu mzima kwa utafiti wa jiografia.
10.Nikitaka kutoa hotuba nitawaita wale wazee wa Dar es salaam
wasiojielewa..

*Nina nia ya dhati mtanipa kura niingie Ikulu?*[/h]
 
Ukiniimbia wimbo wa kunisifia nakupa u viti mbaaluni
 
11. Nitawapa marafiki zangu uwaziri hata kama ni mbumbumbu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hapo namba 9, a.k.a Vasco da Gama wa Bongoland.
Umetisha mzeiiiiyaaaa!
 
Hahaha. Umepitaaa. Na ujifunze kutoa majibu mepesi kwa masuala magumu.
 
529817_432681550147337_1254677569_n.jpg
 
Mi nitafanya kama wakina mama walivyo fanya mwaka 2005 Na 2010 ''Raisi anatakiwa awe Handsome ili apendeze kwenye shilingi na noti'' sasa mimi akigombea mdada tu aje kunipa ile rushwa ya wadada wa vyuoni kwa maprofesa.... Hapo nitampigia chapuo mwanzo mwisho
 
ungo utakuwa usafiri rasmi wa kwenda anga za mbali
 
iache hivyo hivyo usiiweke kichwa cha Bahari.
Nalog off
 
Unamaanisha nchi hii hii ya Wadanganyika...???
 
Back
Top Bottom