[h=5]NINA NIA YA DHATI KABISA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015.
Mambo nitakayowafanyia
1.Nitawachekea chekea ili mnipigie makofi
2.Kila mazishi nitahudhiria
3.Nitapiga picha na wasanii wa mamtoni na waigizaji.
4.Kama una umbo namba 8 nitakuweka bunge wa viti maalum au
mkuu wa wilaya.
5.Nitaenda kupanda farasi kila mwisho wa mwezi mamtoni
6.Mabomu na vurugu zikitokea napanda pipa huyooo mamtoni.
7.Mke wangu atakuwa na mamlaka
8.Kijana wangu atakuwa kama mheshimiwa na lazima nitampatia
mali ya kifisadi.
9.Nitapanda pipa nivunje record kama Marco Pollo aliyesafiri
ulimwengu mzima kwa utafiti wa jiografia.
10.Nikitaka kutoa hotuba nitawaita wale wazee wa Dar es salaam
wasiojielewa..
*Nina nia ya dhati mtanipa kura niingie Ikulu?*[/h]