Kiukweli sisi wanaume wenye wanawake wasiokunywa pombe tunapitia wakati mgumu sana

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.

Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.

Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu.

Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
 
shukuru Mungu umepata huyo wa kunywa juice...usiombe ukutane na gube gube linagida konyagi kama maji..

aslimia kubwa ya wanawake wanaokunywa ni easy go..akishalewa zikishuka chini ndo bas tena yoyote yule anajibebea
 
Kwani flying fish sio pombe!?, au huelewi maana ya pombe(alcohol)?
Screenshot_20251010-230654.jpg
 
Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.

Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.

Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu.

Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
Mkeo unampeleka bar? kwamba wazazi wako hawakukufundisha mipaka?
Ipo siku ataenda mwenyewe
 
Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.

Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.

Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu.

Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
Kama umemtolea mahari kadai mahari yako na fidia juu.

Kama hujatoa omba ulipwe fidia kwa kukuchezea uvulana wako na akuridishie gharama zako zote ukizotumia.

Kaza.
 
Nimeona wanawake ambao wanakunywa pombe lakini wapenzi wao hawajui.
 
shukuru Mungu umepata huyo wa kunywa juice...usiombe ukutane na gube gube linagida konyagi kama maji..

aslimia kubwa ya wanawake wanaokunywa ni easy go..akishalewa zikishuka chini ndo bas tena yoyote yule anajibebea
Unamtaka mke wa ku enjoy na kujilamba kama mudy mzungu paka la baa?
 
Back
Top Bottom