Kwani flying fish sio pombe!?, au huelewi maana ya pombe(alcohol)?Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.
Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.
Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu.
Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
Mkeo unampeleka bar? kwamba wazazi wako hawakukufundisha mipaka?Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.
Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.
Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu.
Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
Kama umemtolea mahari kadai mahari yako na fidia juu.Sina haja ya kuwasalimia coz mara nyingi huwa hamuitikii.
Sisi wanaume wenye wake wasiokunywa pombe tunapitia wakti mgumu sana.
Tunaongozana vizuri kwenda bar kuinjoy life but kufika huko bar unashangaa mtu anakunywa juice au flying fish tu.
Sasa wakuu kweli tuchoshane coz ya flying fish tu?
Unamtaka mke wa ku enjoy na kujilamba kama mudy mzungu paka la baa?shukuru Mungu umepata huyo wa kunywa juice...usiombe ukutane na gube gube linagida konyagi kama maji..
aslimia kubwa ya wanawake wanaokunywa ni easy go..akishalewa zikishuka chini ndo bas tena yoyote yule anajibebea