Kiukweli sisi wanaume wenye wanawake wasiokunywa pombe tunapitia wakati mgumu sana

Kula monde ukipata muda fresh sana,usizidishe.
Kuna uber siku hizi,acha mashine home kazitawanye ukitoka hapo ni uber kwenda mtaani.
Mkifika dereva atakuzimua tu umlipe.
Haya mambo ya kunywa cola nje huko tuache.
Mi huwa jpili ndo tutaonana jioni
Nazugaga kwenda chooni napiga tequila shot chap bar
Au nakua na chupa ya maji humo kuna vodka kimyakimya
nikitoka karidhika nachapa vilevile km kawaida.
Wanaboa sana sometime.
 
NB. Kama hujawai kutumia KILEVI chochote basi mtu huyo hajawai kuishi kabisa 😊
 
Kwanza ungesema faida ya kunywa pombe , labda ntakuelewa🤔
 
Kon
shukuru Mungu umepata huyo wa kunywa juice...usiombe ukutane na gube gube linagida konyagi kama maji..

aslimia kubwa ya wanawake wanaokunywa ni easy go..akishalewa zikishuka chini ndo bas tena yoyote yule anajibebea
Nyagi ni kitu cha kumsimangia mtu jamani 😄
 
Bora kua na mke.asiekunywa ili usiku awe anakuweka kichwa vizuri usije ukameza ulimi ukafa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…