Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mwamba naona mpaka afie madarakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mpiga kura??Na kama TAL atashinda basi Moja kwa Moja utakuwa umepoteza heshma ya uongozi kwa watu wako pia itapelekea kukigawa chama. Majela yatakuwa makubwa sana kuelekea 2025.
MACCM yamefurahi mno! Hata sielewi ni kwa nini.Kwamba katiba haina ukomo wa Mwenyekiti?
Kwani hana haki ya kugombea tena kwa kuwa amekuwa mwenyekiti kwa miaka 20??Kwa zaidi ya miaka 20 kuna maana gani zaidi ya kung’ang’ania?
Yani hata baada ya miaka 20 anaona yeye pekee ndiye anayefaa kuongoza chama?
Upo sahihi sana, lakini si Sasa mlipaswa kupima na kuelewa uhitaji kwanza ama laa mlipaswa kuangalia maslai mapama ya chama kuliko kuangalia ubinafsi wa madarakaChadema ni chama cha demokrasia hii..ifahamike kwa wote wanaosapoti Chadema..kwanza, Pili ni jambo la kawaida ktk demokrasia kwa yeyote mwenye vigezo/wenye vigezo stahiki kugombea nafasi mbali mbali ndani za chama ikiwemo nafasi ya uwenyekiti Taifa. Hivyo hakuna mpasuko wowote unatokea kwenye haki na ukweli ni kuwa waelewa tu...(kushindania nafasi si vita ni ukomavu wa kisiasa tu ili kumpata mtu bora zaidi atakayeenda kukiboresha chama zaidi)
Katiba awali ilikua na ukomo bt baada ya yeye kuingia madarakani akabadili kifungo hicho.Kwamba katiba haina ukomo wa Mwenyekiti?
Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti.
Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni muda sahihi kufanya ulichokifanya?
Je, umetafakari maamuzi yako? Nini maana yake kwa wewe kuendelea kugombea?
Najiuliza Mh mwenyekiti ukifanikiwa kushinda nafasi ya uwenyekiti si itakubidi uombe ridhaa ya kugombea nafasi ya urais? Je, intelligencer imeona utatoshea kweli? Binafsi sioni kama italeta afya kwa Mh TAL atapaswa kuendelea kugombea nafasi ya urais kutokana na matokeo ambayo Moja kwa Moja yatamshushia point za kumfanya aendelee kuomba nafasi wa urais.
Na kama TAL atashinda basi Moja kwa Moja utakuwa umepoteza heshma ya uongozi kwa watu wako pia itapelekea kukigawa chama. Majela yatakuwa makubwa sana kuelekea 2025.
Je, umetafakari kuhusu Wanachama wenu ambao wakina sisi? Je, umetafakari kuhusu maumivu tuliyo nayo tuliyo sababishwa na utawala wa CCM. Je, ninani alikushauri pasipo kusoma alama za nyakati?
Nilisema hapa kwamba Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.Je, amefikilia kuhusu mpasuko wa yeye kuendelea kuwapo kwenye uchaguzi
Sasa Mkuu kipindi cha uchaguzi ndo hiki! ...Je wewe unaona wakati gani ndo ingekuwa sahihi kwa watu kugombea nafasi. .? Na sijua kwa nini watu wanatazama ktk negative view kuliko positivie view kwenye suala la uchaguzi huu...kukiwa na wagombea zaidi ya mmoja hamna shida...labda shida ninayoiona ni kushambuliana tu pasipo kifanya kampeni kistarabuUpo sahihi sana, lakini si Sasa mlipaswa kupima na kuelewa uhitaji kwanza ama laa mlipaswa kuangalia maslai mapama ya chama kuliko kuangalia ubinafsi wa madaraka
Wewe ni sawa na mm, ila aisee Mbowe kanikwaza kinoma!.Sikuwai kuwa na sitokuja kuwa
Hivi kwa nini wanapambana kuhakikisha Mbowe anajitoa kwenye umwenyekiti? Hii haikubaliki! Tundu Lissu lazima tumkalishe!ccm utawajua
Kama ndivyo ivyo basi uwenda tutakuja kuelewana huko mbele, muda umekaribia sanaNilisema hapa kwamba Ukilijua lengo hasa la kuanzisha kwa vyama vya Upinzani hapa Tz mwaka 1992, utakuwa unajua wazi kabisa kwamba Mbowe hawezi kuacha kugombea Uenyekiti huko Chadema.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani ni Mapandikizi ya Tiss, ukianzia:- Augustine Lyatonga Mrema, Cheyo, Lipumba, Mabere Marando, na hata huyo FAM.
Mbowe ni pandikizi la Tiss, ameshinikizwa kwamba ni lazima agombee, huyo yupo Chadema kwa 'kazi maalumu'
Wengine tuna maumivu yaliyotokana na kukipigania chama.Jana Mbowe kageuka kuwa kama mama mwenye kichaa cha uzazi, kalea mimba kwa tabu, kazaa kisha kamnyonga mtoto (CHADEMA)
Kwa maneno mengine, ukitaka Tundu Lissu apite bila kupingwa, siyo? Kosa lake la kugombea ni lipi kama Katiba yenu imefuatwa, au hata hutaki katiba yenu ifuatwe? Mimi kama mpenda demokrasia ninachopigania ni "uchaguzi huru na wa haki". Wapiga kura wengi wakimpigia Tundu Lissu awe mwenyekiti mpya wa chama au wapiga kura wengi wakimpigia Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa chama. Lakini kuwa na upande kiasi cha kupingana na katiba yenu, then kutakuwa kinyume na Katiba yenu unavyosema kwamba viongozi wapatijane kwa kura (halali), na kwa kufuata wingi wa kura.Sikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti.
Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni muda sahihi kufanya ulichokifanya?
Je, umetafakari maamuzi yako? Nini maana yake kwa wewe kuendelea kugombea?
Najiuliza Mh mwenyekiti ukifanikiwa kushinda nafasi ya uwenyekiti si itakubidi uombe ridhaa ya kugombea nafasi ya urais? Je, intelligencer imeona utatoshea kweli? Binafsi sioni kama italeta afya kwa Mh TAL atapaswa kuendelea kugombea nafasi ya urais kutokana na matokeo ambayo Moja kwa Moja yatamshushia point za kumfanya aendelee kuomba nafasi wa urais.
Na kama TAL atashinda basi Moja kwa Moja utakuwa umepoteza heshma ya uongozi kwa watu wako pia itapelekea kukigawa chama. Majela yatakuwa makubwa sana kuelekea 2025.