Mngese sana jamaaMbowe kweli ni dikteta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mngese sana jamaaMbowe kweli ni dikteta
Hofu yangu kuepuka kuwagawa wanachama.Kwa maneno mengine, ukitaka Tundu Lissu apite bila kupingwa, siyo? Kosa lake la kugombea ni lipi kama Katiba yenu imefuatwa, au hata hutaki katiba yenu ifuatwe? Mimi kama mpenda demokrasia ninachopigania ni "uchaguzi huru na wa haki". Wapiga kura wengi wakimpigia Tundu Lissu awe mwenyekiti mpya wa chama au wapiga kura wengi wakimpigia Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa chama. Lakini kuwa na upande kiasi cha kupingana na katiba yenu, then kutakuwa kinyume na Katiba yenu unavyosema kwamba viongozi wapatijane kwa kura (halali), na kwa kufuata wingi wa kura.
He is big-headed and self absorbedSijawahi kumwamini mbowe katika medani za siasa
Yeye Mbowe ana kifungu chake anakitumia kuendelea kukaa madarakani, kasema hajafikisha miaka 68 Kama baba mkwe wake.Sasa chama kinaendelea vipi kuitwa cha demokrasia kama Mwenyekiti ameisaga saga katiba ya chama?
Kuna kifungu katika katiba ya Chadema kinachomruhusu Mbowe kuendelea kung’ang’ania madaraka ya Uwenyekiti wa chama?
Ila Mh TAL amesema hatohama labda wao ndiyo wamtoe
Amefuja pesa nyingi za chama anaogopa kutoka siri zitafichukaSikutegemea kabisa kwa wewe kuonyesha tamaa ya kutaka kuendelea kukalia kiti.
Dhumuni lako aswa ni nini, kuona demokrasia ama kutaka kuona kati yako na makamo wako ni nani zaidi? Je, unahisi ni muda sahihi kufanya ulichokifanya?
Je, umetafakari maamuzi yako? Nini maana yake kwa wewe kuendelea kugombea?
Najiuliza Mh mwenyekiti ukifanikiwa kushinda nafasi ya uwenyekiti si itakubidi uombe ridhaa ya kugombea nafasi ya urais? Je, intelligencer imeona utatoshea kweli? Binafsi sioni kama italeta afya kwa Mh TAL atapaswa kuendelea kugombea nafasi ya urais kutokana na matokeo ambayo Moja kwa Moja yatamshushia point za kumfanya aendelee kuomba nafasi wa urais.
Na kama TAL atashinda basi Moja kwa Moja utakuwa umepoteza heshma ya uongozi kwa watu wako pia itapelekea kukigawa chama. Majela yatakuwa makubwa sana kuelekea 2025.
Prof.He is big-headed and self absorbed
Lisu hata nje ya siasa ataishi kwani ni mwana Taaluma, shida ipo kwa mbowe akikosa uenyekiti atakufa kwa mawazo na hofu ya kupoteza pesa nyingi kununua uenyekiti na kapotezaIla Mh TAL amesema hatohama labda wao ndiyo wamtoe
Mbowe ataiba kura kwani wanufaika wake ikiwemo wabunge haramu 19 hawatakubalikwani anang'ang'ania au anagombea?? hata yeye anayohaki yakugombea..kama wanachadema hawamtaki basi hawata mchagua...
Bora karudi angalau zile pesa kaiba kaficha zote anazitumia chawa wanakula pesa za mbowe kiulaini, aliwatesa wengi kwa uchoyo ubinafsi wake, lakini pesa zote zinaenda kuliwa na wajanja ngoma iwe saleUlafi wa madaraka wa wazi kabisa.
Alikwapua pesa nyingi peke yake na sasa mungu kamwadhibu wajanja wanazila vibaya sanaMngese sana jamaa
Shida kubwa ataiba kura uchakachuaji utatawala sana ataununus uenyekiti kwa gharama kubwa sanaMbowe aondolewe tu mtu anatawala toka watoto wanazaliwa mpaka wanatoka nyumbani yeye bado anagombea tu ni kama Mugabe wa Tanzania awe na sifa asiwe na sifa aondolewe tu hapo hafai kuwa kiongozi king'ang'anizi..
Ukiona Chama tawala ndio kinampa msukumo yeye agombee jua hakuna Chama cha upinzani hapo na ndio watakaoratibu mambo ya kuiba kura kwenye huo Uchaguzi..Shida kubwa ataiba kura uchakachuaji utatawala sana ataununus uenyekiti kwa gharama kubwa sana