Kiukweli umeniangusha mwenyekiti wangu (Mbowe)

Hofu yangu kuepuka kuwagawa wanachama.
 

Attachments

  • Screenshot_20241222-211436.png
    100.5 KB · Views: 1
Sasa chama kinaendelea vipi kuitwa cha demokrasia kama Mwenyekiti ameisaga saga katiba ya chama?
Kuna kifungu katika katiba ya Chadema kinachomruhusu Mbowe kuendelea kung’ang’ania madaraka ya Uwenyekiti wa chama?
Yeye Mbowe ana kifungu chake anakitumia kuendelea kukaa madarakani, kasema hajafikisha miaka 68 Kama baba mkwe wake.
Hicho kifungu ni cha kifamilia ndo kakitumia kugombea uenyekiti wake tena.
 
Amefuja pesa nyingi za chama anaogopa kutoka siri zitafichuka
 
Ila Mh TAL amesema hatohama labda wao ndiyo wamtoe
Lisu hata nje ya siasa ataishi kwani ni mwana Taaluma, shida ipo kwa mbowe akikosa uenyekiti atakufa kwa mawazo na hofu ya kupoteza pesa nyingi kununua uenyekiti na kapoteza
 
kwani anang'ang'ania au anagombea?? hata yeye anayohaki yakugombea..kama wanachadema hawamtaki basi hawata mchagua...
Mbowe ataiba kura kwani wanufaika wake ikiwemo wabunge haramu 19 hawatakubali
 
Ulafi wa madaraka wa wazi kabisa.
Bora karudi angalau zile pesa kaiba kaficha zote anazitumia chawa wanakula pesa za mbowe kiulaini, aliwatesa wengi kwa uchoyo ubinafsi wake, lakini pesa zote zinaenda kuliwa na wajanja ngoma iwe sale
 
Mbowe aondolewe tu mtu anatawala toka watoto wanazaliwa mpaka wanatoka nyumbani yeye bado anagombea tu ni kama Mugabe wa Tanzania awe na sifa asiwe na sifa aondolewe tu hapo hafai kuwa kiongozi king'ang'anizi..
 
Mbowe aondolewe tu mtu anatawala toka watoto wanazaliwa mpaka wanatoka nyumbani yeye bado anagombea tu ni kama Mugabe wa Tanzania awe na sifa asiwe na sifa aondolewe tu hapo hafai kuwa kiongozi king'ang'anizi..
Shida kubwa ataiba kura uchakachuaji utatawala sana ataununus uenyekiti kwa gharama kubwa sana
 
Shida kubwa ataiba kura uchakachuaji utatawala sana ataununus uenyekiti kwa gharama kubwa sana
Ukiona Chama tawala ndio kinampa msukumo yeye agombee jua hakuna Chama cha upinzani hapo na ndio watakaoratibu mambo ya kuiba kura kwenye huo Uchaguzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…