Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,565
- 1,118
Nini kifanyike ndugu mtaalamu?
Mwandishi wa kitabu Cha power of now ni naniKwenye kitabu cha the power of now .wandishi ana sistiza kwenye Nguvu ya uwepo.
Eckhart Tolle.Mwandishi wa kitabu Cha power of now ni nani
Cha kufanya ni hivi ile hali ya giza au hasira inapoanza kupanda, usikimbilie kwenye simu, Kunywa pombe, au kuanza kugombana…Tulia na ujiambie "Ah! Kiumbe cha maumivu kimeamka sasa hivi"Nini kifanyike ndugu mtaalamu?
reprogramming your subconscious inaweza kukififisha kama utakuwa na concistency kwa siku 90 hadi miezi 6 alafu baada ya hapo iwe ni life style inawezekana ila inahitaji nia dhabiti hapo angalau utaififisha hio nguvu hasiHakiwezi kufa kabisa chief, kwasababu kina asili ya kibiolojia na kisaikolojia, Sisi ni binadamu, si roboti, Kwahiyo mfumo wetu wa neva na akili uliumbwa kuhifadhi kumbukumbu za maumivu na hatari ili kutulinda…Kumbukumbu na maumivu yote ya nyuma yaliyotengeneza hicho kiumbe bado yapo kwenye mfumo wako wa ubongo
Na kwakua bado unaishi duniani, utakutana na changamoto mpya, msuguano na watu, msongo wa kazi, au kupoteza vitu unavyovipenda….Vitu hivi ni vichocheo (triggers) ambavyo vinaweza kukiamsha kwa muda mfupi
Absolutely rightAlways be the observer
Kumbe inawezekana kuondoa kabisa!reprogramming your subconscious inaweza kukififisha kama utakuwa na concistency kwa siku 90 hadi miezi 6 alafu baada ya hapo iwe ni life style inawezekana ila inahitaji nia dhabiti hapo angalau utaififisha hio nguvu hasi
Hiyo hali ya nguvu hasi inapokuvamia usishindane nayo,Naombeni msaada wa kua na nguvu chanya naona hii nguvu hasi inanizidia yaani kila ninapokua na furaha Kuna sauti kichwani inaniletea matukio yahofu ili mradi niwe depressed all days
Asantee sanaHiyo hali ya nguvu hasi inapokuvamia usishindane nayo,
Tulia uwe kama mtu anayeshuhudia mwilini Mwako, Yani badala ya kufuata mnyororo wa mawazo hasi yanayoletwa na akili yako, elekeza umakini wako kwenye uhalisia wa mwili…Hisi kifua kinavyobana, mapigo ya moyo yanavyoenda kasi, au tumbo linavyosokota.. Kaa na hiyo hisia bila kuihukumu.
Unapoiangalia hiyo hali kwa utulivu bila kuweka mawazo mapya ya lawama au kulalamika, unakuwa umekata mzunguko huo unaokusumbua..unapunguza nishati ya nguvu hasi, inadhoofika, na mwisho inayeyuka kabisa