Kiumbe kinachokula nishati yako (The Pain-Body)

Kiumbe kinachokula nishati yako (The Pain-Body)

Kabidhi maisha yako kwa BWANA YESU ili yawe sio ya kwako tena. Roho wa Mungu yaani Roho Mtakatifu Ataingia ndani yako na Atakuwa Anakuongoza katika yote. Negatives zote zinakufa kifo cha asili. Unaanza kuyaishi mapenzi ya Mungu. Unaanza kugundua kuwa maisha ni zaidi ya jinsi tuwazavyo. Unajua kuwa maisha ni milele pamoja na Mungu.

JESUS IS LORD&SAVIOR
This is the only way to do mengine ni kupoteza muda tu
 
Back
Top Bottom