Roy Logan
JF-Expert Member
- Jan 22, 2021
- 863
- 3,474
JK alisema, ukila na wewe uliwe, mimi nalaumu viongozi wetu, hao waliotajwa hapa hawajaanza hizo ishu zao leo, wenye kuelewa na kujua uchumi ulivyo wanakaa nao chini na kufanya majadiliano jinsi ya kunufaika kila upande, tatizo tunaowatuma kwenye negotiation wanajitazama wao na matumbo yao, mwisho wa siku tunapigwa pakubwa.Ni kweli mkuu tunapigwa sio padogo ni pakubwa sana.