Kiumbe mkubwa nyuma ya kiti cha Rais na hatma ya maendeleo yetu

Naniliu alitofautiana na hawa mabeberu, hivyo he had to go!, ndio wakamnaniliu!.
P.
Duh, so what do we do; decide sitting on the fence or embrace either of the yardstick side? Je, yupo mwingine anayeweza kuvaa ujasiri huo na asiogope kuwa 'fibrillated'?

Second and third world countries are still not free whilst neocolonialism is on fast track engulfing them badly.
 
Mnamo mwaka 1910 nchini Marekani kulikuwa na watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi ambao walikutana pamoja katika kisiwa cha Jekyll katika pwani ya Georgia.Watu hawa J.P Morgan,William Rockefeller na jamaa zao wa karibu walikuwa na uwezo wa kiuchumi sawa na asilimia 25 ya uchumi wa dunia yote.

Katika mkutano wao pia waliwahusisha watu wa serikali ya Marekani ambapo lengo lao kubwa la kukutana ni kuunda mfuko wa fedha ambao ungeisadia serikali katika wakati wa shida au wakati ambapo serikali itakuwa imeishiwa na fedha kabisa.

Mfuko huu huitwa Federal Reserve System(FED).Mfuko huu kiuhalisia haumilikiwi na serikali ya Marekali bali humilikiwa na watu hawa waliotajwa hapo juu na jamaa zao wa karibu.

Watu hawa waliunda mfuko huu kwa madhumuni ya kumiliki mambo yote ya kifedha nchini Marekani na hata dunia nzima,kwa mtu anayejua vizuri sayansi ya fedha na jinsi mfuko huu unavyofanya kazi ni rahisi kwake kuelewa jinsi watu hawa wanavyonufaika na mfuko huu.Watu hawa hujiingizia fedha nyingi sana kupitia mfuko huu.

Fedha hizo huwawezesha kutimiza majukumu mengine muhimu ambayo wameyalenga bila kupata kikwazo.Fedha hizo zinatumika kumiliki/kutawala mamlaka,taasisi au mashirika kwa kuwanunua wale ambao wanaongoza mamlaka,taasisi au mashirika husika.Hununua wanasiasa,vyama vya siasa,televisheni,Redio,magazeti,vyuo vikuu,vyama vya wafanyakazi,mashirika ya biashara na taasisi nyingine zinazofanana na hizo.

Watu hawa ndio watawala halisi katika serikali ya Marekani na ndio wanaoamua mambo yote ya kiserikali,rais wa Marekani anatumwa tu kutekeleza.

Watu hawa ndio ndio walioshinikiza kuundwa kwa umoja wa mataifa(UNO) mwaka 1945 baada ya kushindwa kundeleza jumuiya ya mataifa(League of Nations) iliyondwa na hao wenyewe mwaka 1920 lengo lao kubwa ni kupanua wigo wa kutawala kuvuka mipaka ya Marekani.

Agenda zote za kuundwa jumuiya ya mataifa na umoja wa mataifa zilianzishwa na marais wa Marekani ambao ni Woodrow Wilson 1920 na Franklin D.Roosevelt 1945.

Mashirika mbalimbali ya UNO yaliundwa kutegemea na maeneo ambayo walilenga kutawala kama vile Benki ya dunia(World Bank),mfuko wa fedha wa dunia(IMF),shirika la afya duniani(WHO),shirika la chakula na kilimo(FAO),shirika la wafanyakazi duniani(ILO) na mengineyo.Mashirika yote ya kifedha yana makao yake makuu nchini Marekani,yaani IMF na World Bank.

Katika safari yao ya kujikusanyia mamlaka wanafanya mambo mengi sana likiwemo lile la kumiliki wanasiasa ambalo nilishalitaja hapo juu ili kujimilikisha mali asili na malengo mengine nje ya mali asili katika nchi husika ambazo wanasiasa hao wanatoka au wanaishi.

Watu hawa wanapohitaji jambo fulani katika taifa husika,hufanya kila njia ili wafanikiwe bila kujali madhara yatakayotokea.Wanapohitaji mali asili fulani au jambo fulani kutoka nchi fulani ambalo ni muhimu kwao hutumia njia kuu tatu kutegemea na ugumu wa nchi au kiongozi wake ,njia hizo ni ‘economic hitman'(huuwa/hurubuni uchumi wa nchi),'the jackals'(mtaalamu/wataalamu wa mauaji ili kumuua anayekwamisha malengo) na ‘military'(hutumia nguvu za kijeshi ),mwandishi wa kitabu kimoja kiitwacho Confessions of an Economic Hitman aitwaye John Perkins anafafanua vizuri sana suala hili.

John Perkins mwenyewe alikuwa ‘economic hit man' hivyo mambo anayoeleza kwenye kitabu chake ni yale ambayo amekutana nayo yeye mwenyewe akiwa kazini.

Katika historia kuanzia mwaka 1950 nchi nyingi ziliwahi kukumbwa na msukosuko kwa viongozi wa nchi hizo kutokukubaliana na matakwa ya watu hawa.Baadhi ya viongozi wa nchi hizo waling'olewa madarakani na wengine waliuawa.

Baadhi ya nchi hizo ni Iran, Guatemala, Equardo, Panama, Venezuela, Afghanistan, Iraq, Libya na sasa watu hawa wapo Syria.Kiongozi atakaye kubaliana na matakwa ya hawa watu ndiye pekee atakayedumu madarakani.
Hakuna ubishi kwamba Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi sana yakiwemo madini mbalimbali pamoja na gesi iliyogundulika hivi karibuni.

Rasilimali hizi ni muhimu sana si tu kwa watu hawa bali pia nchi nyingine tajiri duniani zinakodolea macho.Mazingira yote yanajionesha kwamba watu hawa wamesha jichimbia nchini mwetu wakimiliki rasilimali hizi pamoja na kutimiza malengo mengine nje ya hapo.

Jambo hili linathibitisha kwamba wamefanikiwa kununua kiti cha rais wetu pamoja na kwamba anayekaa kwenye kiti hicho ni mtanzania mwenzetu.Kwa mtu yeyote mwenye upeo mkubwa atabaini kwamba kutokana na ukweli huu kuna mambo fulani ya kimaendeleo nchini kwetu hayatawezekana kamwe kwa kuwa hatuongozwi na rais wetu bali kiumbe aliye nyuma ya kiti chake ndiye anayetoa amri zote kuhusu mambo muhimu.Rais wetu wa sasa na yeyote atakayekuja baada yake hawana ubavu wa kupingana na kiumbe huyu.

Kama kiumbe huyu alidiriki kuua rais wa nchini mwake JF Kennedy, basi kwake ni rahisi zaidi kuua yeyote Yule atakayepingana na mipango yake.

Kutokana na ukweli huu nadadavua kwamba,kama rais wa nchi yoyote ile atakuwa na urafiki na serikali ya Marekani basi lazima awe adui kwa wananchi wake,na rais yeyote atakayekuwa na urafiki na wananchi wake basi lazima awe adui kwa serikali ya marekani na hivyo hatadumu madarakani.

Katika hali kama hii katiba mpya haina maana au mantiki tena hata kama itashushwa kutoka mbinguni,kupiga kura ili kuchagua viongozi hakuna maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye elimu haina maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye kilimo haina maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye afya haina maana tena,hakuna tena dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa kuwa misingi yote ya maendeleo imeshikwa au inamilikiwa na kiumbe huyu mkubwa.
GENTAMYCINE uje uone madini huku. Haya madini huwezi kuyapata kwenye kile chuo chako cha SAUT!

Ona sasa! Tunamuonea tu mama yetu na yule mtunza chungu chake cha fedha kwa kuwalaumu kwa kutuongezea tozo, huku wakigawa maliasili zetu kama hawana akili nzuri vile! Kumbe chanzo cha majanga yote ni Mababeru!
 
Duh, so what do we do; decide sitting on the fence or embrace either of the yardstick side? Je, yupo mwingine anayeweza kuvaa ujasiri huo na asiogope kuwa 'fibrillated'?

Second and third world countries are still not free whilst neocolonialism is on fast track engulfing them badly.
Some things will never change-2Pac
 
Mnamo mwaka 1910 nchini Marekani kulikuwa na watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi ambao walikutana pamoja katika kisiwa cha Jekyll katika pwani ya Georgia.Watu hawa J.P Morgan,William Rockefeller na jamaa zao wa karibu walikuwa na uwezo wa kiuchumi sawa na asilimia 25 ya uchumi wa dunia yote.

Katika mkutano wao pia waliwahusisha watu wa serikali ya Marekani ambapo lengo lao kubwa la kukutana ni kuunda mfuko wa fedha ambao ungeisadia serikali katika wakati wa shida au wakati ambapo serikali itakuwa imeishiwa na fedha kabisa.

Mfuko huu huitwa Federal Reserve System(FED).Mfuko huu kiuhalisia haumilikiwi na serikali ya Marekali bali humilikiwa na watu hawa waliotajwa hapo juu na jamaa zao wa karibu.

Watu hawa waliunda mfuko huu kwa madhumuni ya kumiliki mambo yote ya kifedha nchini Marekani na hata dunia nzima,kwa mtu anayejua vizuri sayansi ya fedha na jinsi mfuko huu unavyofanya kazi ni rahisi kwake kuelewa jinsi watu hawa wanavyonufaika na mfuko huu.Watu hawa hujiingizia fedha nyingi sana kupitia mfuko huu.

Fedha hizo huwawezesha kutimiza majukumu mengine muhimu ambayo wameyalenga bila kupata kikwazo.Fedha hizo zinatumika kumiliki/kutawala mamlaka,taasisi au mashirika kwa kuwanunua wale ambao wanaongoza mamlaka,taasisi au mashirika husika.Hununua wanasiasa,vyama vya siasa,televisheni,Redio,magazeti,vyuo vikuu,vyama vya wafanyakazi,mashirika ya biashara na taasisi nyingine zinazofanana na hizo.

Watu hawa ndio watawala halisi katika serikali ya Marekani na ndio wanaoamua mambo yote ya kiserikali,rais wa Marekani anatumwa tu kutekeleza.

Watu hawa ndio ndio walioshinikiza kuundwa kwa umoja wa mataifa(UNO) mwaka 1945 baada ya kushindwa kundeleza jumuiya ya mataifa(League of Nations) iliyondwa na hao wenyewe mwaka 1920 lengo lao kubwa ni kupanua wigo wa kutawala kuvuka mipaka ya Marekani.

Agenda zote za kuundwa jumuiya ya mataifa na umoja wa mataifa zilianzishwa na marais wa Marekani ambao ni Woodrow Wilson 1920 na Franklin D.Roosevelt 1945.

Mashirika mbalimbali ya UNO yaliundwa kutegemea na maeneo ambayo walilenga kutawala kama vile Benki ya dunia(World Bank),mfuko wa fedha wa dunia(IMF),shirika la afya duniani(WHO),shirika la chakula na kilimo(FAO),shirika la wafanyakazi duniani(ILO) na mengineyo.Mashirika yote ya kifedha yana makao yake makuu nchini Marekani,yaani IMF na World Bank.

Katika safari yao ya kujikusanyia mamlaka wanafanya mambo mengi sana likiwemo lile la kumiliki wanasiasa ambalo nilishalitaja hapo juu ili kujimilikisha mali asili na malengo mengine nje ya mali asili katika nchi husika ambazo wanasiasa hao wanatoka au wanaishi.

Watu hawa wanapohitaji jambo fulani katika taifa husika,hufanya kila njia ili wafanikiwe bila kujali madhara yatakayotokea.Wanapohitaji mali asili fulani au jambo fulani kutoka nchi fulani ambalo ni muhimu kwao hutumia njia kuu tatu kutegemea na ugumu wa nchi au kiongozi wake ,njia hizo ni ‘economic hitman'(huuwa/hurubuni uchumi wa nchi),'the jackals'(mtaalamu/wataalamu wa mauaji ili kumuua anayekwamisha malengo) na ‘military'(hutumia nguvu za kijeshi ),mwandishi wa kitabu kimoja kiitwacho Confessions of an Economic Hitman aitwaye John Perkins anafafanua vizuri sana suala hili.

John Perkins mwenyewe alikuwa ‘economic hit man' hivyo mambo anayoeleza kwenye kitabu chake ni yale ambayo amekutana nayo yeye mwenyewe akiwa kazini.

Katika historia kuanzia mwaka 1950 nchi nyingi ziliwahi kukumbwa na msukosuko kwa viongozi wa nchi hizo kutokukubaliana na matakwa ya watu hawa.Baadhi ya viongozi wa nchi hizo waling'olewa madarakani na wengine waliuawa.

Baadhi ya nchi hizo ni Iran, Guatemala, Equardo, Panama, Venezuela, Afghanistan, Iraq, Libya na sasa watu hawa wapo Syria.Kiongozi atakaye kubaliana na matakwa ya hawa watu ndiye pekee atakayedumu madarakani.
Hakuna ubishi kwamba Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi sana yakiwemo madini mbalimbali pamoja na gesi iliyogundulika hivi karibuni.

Rasilimali hizi ni muhimu sana si tu kwa watu hawa bali pia nchi nyingine tajiri duniani zinakodolea macho.Mazingira yote yanajionesha kwamba watu hawa wamesha jichimbia nchini mwetu wakimiliki rasilimali hizi pamoja na kutimiza malengo mengine nje ya hapo.

Jambo hili linathibitisha kwamba wamefanikiwa kununua kiti cha rais wetu pamoja na kwamba anayekaa kwenye kiti hicho ni mtanzania mwenzetu.Kwa mtu yeyote mwenye upeo mkubwa atabaini kwamba kutokana na ukweli huu kuna mambo fulani ya kimaendeleo nchini kwetu hayatawezekana kamwe kwa kuwa hatuongozwi na rais wetu bali kiumbe aliye nyuma ya kiti chake ndiye anayetoa amri zote kuhusu mambo muhimu.Rais wetu wa sasa na yeyote atakayekuja baada yake hawana ubavu wa kupingana na kiumbe huyu.

Kama kiumbe huyu alidiriki kuua rais wa nchini mwake JF Kennedy, basi kwake ni rahisi zaidi kuua yeyote Yule atakayepingana na mipango yake.

Kutokana na ukweli huu nadadavua kwamba,kama rais wa nchi yoyote ile atakuwa na urafiki na serikali ya Marekani basi lazima awe adui kwa wananchi wake,na rais yeyote atakayekuwa na urafiki na wananchi wake basi lazima awe adui kwa serikali ya marekani na hivyo hatadumu madarakani.

Katika hali kama hii katiba mpya haina maana au mantiki tena hata kama itashushwa kutoka mbinguni,kupiga kura ili kuchagua viongozi hakuna maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye elimu haina maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye kilimo haina maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye afya haina maana tena,hakuna tena dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa kuwa misingi yote ya maendeleo imeshikwa au inamilikiwa na kiumbe huyu mkubwa.
Hongera sana kwa kuutambua ukweli huu mkuu.Hayati Magufuli alijua ukweli huu na kuusimamia ndio maana walimuua!Rafiki wa wananchi siku zote ni adui yao,na ukiona Raisi wenu wanamsifia na kumpenda,mjue wanamtumia kuwapiga.Huo ndio ukweli mchungu.Na kwa mantiki hiyo,sasa tunapigwa!
 
Mkuu je hao vidume wamiliki wa FED ndio walipiga lile tukio la march17,2021
 
Dah! Umekata tamaaa
 
Hawa ndio Deep State,NWO,Shadow World Government,The Powers To Be(TPTB),World Economic Forum(WEF),Bildeberg Group nk.nk.

Mkutano wa Davos,Switzerland,ambao viongozi wetu wanne wa ngazi za juu walihudhuria,
akiwemo Makamu wa Rais Bwana Phillip Mpango,uliandaliwa na wao,imagine!Inatisha sana.Ndio maana Hayati Magufuli alikuwa hataki kabisa kuhudhuria mikutano yao.Nadhani waliokuwa wanafuatilia ule mkutano waliona how demonic it was.
 
Sisomi upuuzi bila picha
 
Ulikuwa na hoja ya msingi sana ila Mawazo yako ndio yanahitimisha umasikini wako, ni kama masikini wengi wanavyoamini kuwa MTU tajiri anatokana na freemason au uganga. Ndugu pambana dunia sio yako pekee yako kila mmoja ana fursa sawa. Nb; mawazo yako ndio umasikini wako
FB_IMG_1659209119475.jpg
 
Hawa ndio Deep State,NWO,Shadow World Government,The Powers To Be(TPTB),World Economic Forum(WEF),Bildeberg Group nk.nk.

Mkutano wa Davos,Switzerland,ambao viongozi wetu wanne wa ngazi za juu walihudhuria,
akiwemo Makamu wa Rais Bwana Phillip Mpango,uliandaliwa na wao,imagine!Inatisha sana.Ndio maana Hayati Magufuli alikuwa hataki kabisa kuhudhuria mikutano yao.Nadhani waliokuwa wanafuatilia ule mkutano waliona how demonic it was.
Aksante Sana mkuu Kwa hili,tujitahidi kuwatoa watu usingizini,maana hatua bora na ya maana zaidi kuliko zote ni watu Kwanza waujue ukweli,baada ya hapo ndio tuanze kutafuta suluhu.Pamoja Sana.
 
Mkuu mtazamo wako ni mzuri sana.Hata hivyo tatizo ni kwamba,it is as if watu akili zao zimefungwa na mtu kaondoka na funguo!People simply don't understand,they do not take in anything new.Hii hali ni disaster for humanity mkuu.Walicho-kifanya NWO ni kitu kibaya sana.Humanity is suffering from what is called Mass Formation Psychosis.We are in a dead end.
 
"Kutokana na ukweli huu nadadavua kwamba,kama rais wa nchi yoyote ile atakuwa na urafiki na serikali ya Marekani basi lazima awe adui kwa wananchi wake,na rais yeyote atakayekuwa na urafiki na wananchi wake basi lazima awe adui kwa serikali ya marekani na hivyo hatadumu madarakani.

Katika hali kama hii katiba mpya haina maana au mantiki tena hata kama itashushwa kutoka mbinguni,kupiga kura ili kuchagua viongozi hakuna maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye elimu haina maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye kilimo haina maana tena,mipango yote ya maendeleo kwenye afya haina maana tena,hakuna tena dira ya maendeleo ya nchi yetu kwa kuwa misingi yote ya maendeleo imeshikwa au inamilikiwa na kiumbe huyu mkubwa."👉
Hongera sana kwa kuutambua ukweli huu mkuu.Hayati Magufuli alijua ukweli huu na kuusimamia ndio maana walimuua!Rafiki wa wananchi siku zote ni adui yao,na ukiona Raisi wenu wanamsifia na kumpenda,mjue wanamtumia kuwapiga.Huo ndio ukweli mchungu.Na kwa mantiki hiyo,sasa tunapigwa!
Ni kweli mkuu tunapigwa sio padogo ni pakubwa sana.
 
Kuna umaskini mwingine wala hatuhitaji kumlaumu mtu, viongozi wetu wangeacha kuweka 10% kwenye miradi ya maendeleo tungeshatoka hapa tulipo zamani.
Hii Nchi tunayosema maskini hembu tazama viongozi wake, familia na jamaa zao maisha wanayoishi na mali wanazomiliki, kuwasingizia hao Rockfeller &Family ni kutafuta sehemu ya kumwagia lawama, shida ipo ndani mwetu.
 
Back
Top Bottom