Kiumbe mkubwa nyuma ya kiti cha Rais na hatma ya maendeleo yetu

Ni kweli mkuu tunapigwa sio padogo ni pakubwa sana.
JK alisema, ukila na wewe uliwe, mimi nalaumu viongozi wetu, hao waliotajwa hapa hawajaanza hizo ishu zao leo, wenye kuelewa na kujua uchumi ulivyo wanakaa nao chini na kufanya majadiliano jinsi ya kunufaika kila upande, tatizo tunaowatuma kwenye negotiation wanajitazama wao na matumbo yao, mwisho wa siku tunapigwa pakubwa.
 
Je mama Yangu Daktari chura kiziwi FC ataweza kushinda chaguzi wa mwakani bila makubaliano na America!!?

Wachina na waarabu pekee watamsaidia kuingia ikulu!!?

Najiuliza tu au atapiga U-turn!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…