Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Na hiyo ndio maana ya uliberaliHata humu JF nilishashauri moderetors watenge wenye akili na wapumbavu
Si sawa kuchangia jukwaa Moja na wapumbavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo ndio maana ya uliberaliHata humu JF nilishashauri moderetors watenge wenye akili na wapumbavu
Si sawa kuchangia jukwaa Moja na wapumbavu
wa2 wenye akili nyingi ni machizi"there is no genous without a mixure of madness".....ARISTOTOLE saidSalaam.
Kumekuwa na vyama vingi vya kutetea au kusemea makundi mbalimbali ya watu ila watu wenye akili nyingi AKA ma genius hawana kundi au chama cha kuwasemea na kuwatetea.
Watu wenye akili sana mara nyingi huonekana wakorofi na mara nyingine wanaonekana hawaeleweki pengine kwa sababu kujieleza sana hawawezi au maarifa au mawazo wanayotoa ni makubwa mnoo hivyo akili ya kawaida si rahisi kung'amua.
Ili kujiunga na chama hiki utaulizwa maswali kadhaa ya logic na utambuzi, elimu sio kipimo rasmi cha kwamba mtu ni genius wako majitu yana akili nyingi hawakupata fursa ya shule na pia waliopata fursa ya shule.
Chama hiki kitasaidia viongozi hasa wa miimili mitatu ya nchi, kwa kutoa ushauri wa kitaalamu na kulalamika au kulaumu haitakuwa kwenye chama hiki, sisi ni kushauri na kutoa majibu magumu. Tutaomba kumuona Rais mara moja kwa mwaka naamini tutapata uwakilishi. Ni chama cha watu wasiotaka umaarufu wala kamera.
Mnaonaje hiyo?
Chama kisajiliwe kabisa na tupate msemaji kutiwakilisha.
Chama cha kutetea watu wenye akili Tanzania