Kiundwe Chama cha Watu Wenye Akili Tanzania

Kiundwe Chama cha Watu Wenye Akili Tanzania

Salaam.
Kumekuwa na vyama vingi vya kutetea au kusemea makundi mbalimbali ya watu ila watu wenye akili nyingi AKA ma genius hawana kundi au chama cha kuwasemea na kuwatetea.

Watu wenye akili sana mara nyingi huonekana wakorofi na mara nyingine wanaonekana hawaeleweki pengine kwa sababu kujieleza sana hawawezi au maarifa au mawazo wanayotoa ni makubwa mnoo hivyo akili ya kawaida si rahisi kung'amua.

Ili kujiunga na chama hiki utaulizwa maswali kadhaa ya logic na utambuzi, elimu sio kipimo rasmi cha kwamba mtu ni genius wako majitu yana akili nyingi hawakupata fursa ya shule na pia waliopata fursa ya shule.

Chama hiki kitasaidia viongozi hasa wa miimili mitatu ya nchi, kwa kutoa ushauri wa kitaalamu na kulalamika au kulaumu haitakuwa kwenye chama hiki, sisi ni kushauri na kutoa majibu magumu. Tutaomba kumuona Rais mara moja kwa mwaka naamini tutapata uwakilishi. Ni chama cha watu wasiotaka umaarufu wala kamera.
Mnaonaje hiyo?

Chama kisajiliwe kabisa na tupate msemaji kutiwakilisha.

Chama cha kutetea watu wenye akili Tanzania
wa2 wenye akili nyingi ni machizi"there is no genous without a mixure of madness".....ARISTOTOLE said
 
Wenye akili sio wanasiasa kabisa, nenda karume kuna watu wanatema NONDO na bado wanauza dagaa wanafurahia maisha
 
Back
Top Bottom