Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

Jikomboe Mwenyewe Hakuna mwanasiasa yeyeto au mwafrika yeyeto mwenye kuweza kumletea maendeleo au kumkomboa mwafrika mwenzake sababu bado Hatujafikia level ya maturity kuelekea humanity. Sasa kama KILA kitu kipo yaani raslimali tele zipo, Nguvu Kazi tele, pesa tele zimejaa kwenye mabenk, masoko duniani yapo tele, nk na tumeshindwa nini tutaweza? Mambo madogo tu kama haya tumeshindwa,kutokomeza njaa nchini, tatizo la ajira nchini, kutokomeza nyumba za udongo nchini,hivi ni vitu vidogo Sana ndani ya miaka mitatu tu unaweza ukavifuta kabisa vikawa historia sasa kipi tutaweza?
Jikomboe Mwenyewe ndugu.
 
Chadema ni majambazi makubwa yaliyojifichia kwenye uanaharakati wa kutetea matumbo yao!

Utukome kututajia chama kisicho na vigezo

Punguza chuki, umeipigia CCM kura, imejaa bungeni, imejaa halmashauri zote na manispaaa na mawaziri wote ni wa CCM , lakini kwa chuki zako, unailaumu CHADEMA kwa ugumu wa Maisha ulioletwa na CCM. Endelea kulaumu asiyeusika kwa kujifanya haumuoni muhusika mkuu CCM.

Kura uipr CCM lakini lawama za kushindwa kazi uitupie CHADEMA.
 
Asante mkuu,

Kwa sasa ni bora kuwa na chama kipya kabisa, si ccm wala chadema tena, hawa tumewaona nje ndani, wote ni wakiukaji wa katiba
 
Chadema ni majambazi makubwa yaliyojifichia kwenye uanaharakati wa kutetea matumbo yao!

Utukome kututajia chama kisicho na vigezo
Inakusaidia nini kuandika haya wakati ukijua kabisa si kweli? Unaidanganya nafsi yako halafu unashangilia. Huu bila shaka ni u zombie
 
Pole, hivi kwenye ratiba mpya, zamu ya kundi lenu kwenda kulinda na kufanya usafi malaloni ni wiki ya mwezi gani vile? Yaonekana haujaenda huko siku nyingi.
Madhara ya kuwa na makalio makubwa na kuyatumia kufikiri.
 
Tumia hayo makalio kujamba sio kufikiri

Ndugu yangu unaweza KABISA kumshinda Shetani, na mambo yake yote.

β€œChukueni msimamo mkampinge [Shetani], mkiwa imara katika imani.”—1 PET. 5:9. β€œBasi, mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.”—YAKOBO 4:7. 1. AMEN
 
Inakusaidia nini kuandika haya wakati ukijua kabisa si kweli? Unaidanganya nafsi yako halafu unashangilia. Huu bila shaka ni u zombie
Si kweli kwenye nini?

Kwamba chadema hakiyumbi kwenye maamzi yake?

Rejea kipindi cha uchaguzi 2015, mlitufanyia nini?

Rejea ukikwaji wa katiba yenu jinsi kulivyo na umwamba wa kuchagua viongozi wetu na kung"ang'ania madaraka
 
Kile chama chenu cha Banyamulenge kinawndeleaje huko?

Niache kutafuta pesa nije kushabikia vyama vya waganga njaa? Chama hakiwezi kukuletea ugali
 
Wasukuma waunde
 
Napendekeza jina kiitwe Chama cha wanyonge(CCW)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…