Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Jikomboe Mwenyewe Hakuna mwanasiasa yeyeto au mwafrika yeyeto mwenye kuweza kumletea maendeleo au kumkomboa mwafrika mwenzake sababu bado Hatujafikia level ya maturity kuelekea humanity. Sasa kama KILA kitu kipo yaani raslimali tele zipo, Nguvu Kazi tele, pesa tele zimejaa kwenye mabenk, masoko duniani yapo tele, nk na tumeshindwa nini tutaweza? Mambo madogo tu kama haya tumeshindwa,kutokomeza njaa nchini, tatizo la ajira nchini, kutokomeza nyumba za udongo nchini,hivi ni vitu vidogo Sana ndani ya miaka mitatu tu unaweza ukavifuta kabisa vikawa historia sasa kipi tutaweza?
Jikomboe Mwenyewe ndugu.
Jikomboe Mwenyewe ndugu.