Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

I second. Hata hivyo Maneno matupu hayavunji mfupa. Tuunde sasa kamati ya kuratibu zoezi hili
 
Unapaswa utueleze unaunda weye hicho chama kipya.Kuandika tu uzi na kusukumia wengine wakuundie hicho chama nao ni udumavu.Unda chako!
 
Tununue vyama vilivyopo tuweke utawala wetu kwa mfano UDP ya cheo halafu Mzee apewe chake aishie, wazalendo tuweke uongozi wetu
 
Naona Chadema wameenda kumpa political mileage Samia ionekane anajali demokrasia kwa wafadhili .
 
Si kile chenye picha ya magufuli???
 
CCM ndio chama pekee chenye itikadi inayoeoeleweka, msimamo na falsafa hao wengine wanaiga tu. Ukweli CCM ndio chama kitakacholeta mapinduzi ya kweli ya kiuchumi,kijamii na kisiasa kwa sababu CCM Ina ushirikiano mzuri na vyama rafiki Kama CCP Cha China miongoni mwa vyama ambavyo havijawahi kuyumba Kama ilivyo CCM hapa kwetu. CCM Hoyeeee........... Mama endelea kuupiga mwingiiiiiiiiiiiiiii
 
Wanachama wake watoke Mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…