Kiungo fundi (Mudathir Yahya) asaini miaka 2 Yanga SC

Hee Siku Zote hizo anacheza Alikuwa Bado kumsainisha....!

Utopolo dhulumati Sana...!

Mtaacha lini Kuvidhulumu Vichezaji visivyojielewa..?

Ndo Maana Fei Toto Kashtukia Mchezo..!
 
Tulia kijana. Yanga ni timu kubwa. Ilichokifanya hapo ni kuboresha tu mkataba wa mchezaji.

Unafikiri angekuwa hajasainishwa, TFF wangepitishaje jina lake kwenye usajili?
 
Yaan Kuna watu vichwa maji sana, afadhal Tate Mkuu umemjibu kistaarabu.
 
Back
Top Bottom