Kiungo gani cha mwili kinakupa sana pesa?

Bila kuwa na maarifa ya kitu fulani huwezi pata pesa. Hata uwe umekamilika kila idara na ukakosa maarifa wewe ni mzigo.
 
Swali dogo tena jepesi tu lakini mawazo yameenda kwenye chaga za vitanda.Ufikaji utakuwa wa kuburuza miguu na ulimi unaning'inia kama mbweha mjane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…