Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

Ukame na ndizi wapi na wapi?Wewe angalia mtama.
Wee usije kuchekwa bureee 🀣 🀣 🀣 kuna mama analima ndizi hekari 20 hivi..kwa kumwagilia tuu...juzi tulikua huku na mkuu wa mkoa...
 
Wee usije kuchekwa bureee 🀣 🀣 🀣 kuna mama analima ndizi hekari 20 hivi..kwa kumwagilia tuu...juzi tulikua huku na mkuu wa mkoa...
Fake newz!Hebu onja maji ya kunywa hapo kama siyo chai.
 
Mimi nadhani Yanga huwa hawana nia ya kumsajili ila wanachofanya ni kumpaisha mchezaji kama vile wanamsajili ingawa nia yao ni kuwakomoa Simba watoe fedha nyingi kwa mchezaji.
Na ndicho walichojaribu kufanya kwa moses phiri ila makolo wakaamua liwalo na liwe
 
Usinijibu vibaya lakini sis πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

View attachment 2981398
Hawa watt wapuuzi kweli..hivi kweli mwanaume shababy unapata wapi ujasiri wa kusema ninge...inge..na maneno ya hivyo eti angenioa??...yani tabu sana...

Bro angu Shimba ya Buyenze sasa naanzaje kukujibu vibaya jamani...yani ww kabisa??
 
Fake newz!Hebu onja maji ya kunywa hapo kama siyo chai.
Ww unapinga ushafika Dodoma au unaishi dodoma?? Mbona unapinga hovyo tuu? Fake news?? Mm mwenyewe kwangu nina migomba ya ndizi...mahali popote unalima kama una vyanzo vy maji..kilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati njoo Dom uone watu wanavyolima mashamba kwa maji ya kumwagilia toka kwny visima vikubwa walivyochimba...
 
Ongezea kiungo aliye top ten ya wafungaji wa muda wote club bingwa
 
Tatizo la Simba ni kutokua na umahiri wa kufanya replacement sahihi ya wachezaji kwa Sasa..Ni dhahiri kwamba kwa manufaa ya timu chama angetakiwa apewe mkono wa kwaheri maana ameshaota mapembe kiasi hata yy mwenyewe anajiona yupo juu ya klabu
 
Mchezaji kila dirisha la usajili hua anasajiliwa yanga msimu unapo anza anacheza Simba sijui hii kitaalum imekaaje
Litakua jambo la kijinga kuendelea kumng'ang'ania Chama mchezaji asiyeiheshimu club.
 
Tatizo la Simba ni kutokua na umahiri wa kufanya replacement sahihi ya wachezaji kwa Sasa..Ni dhahiri kwamba kwa manufaa ya timu chama angetakiwa apewe mkono wa kwaheri maana ameshaota mapembe kiasi hata yy mwenyewe anajiona yupo juu ya klabu
Mi nilishangaa aliporudishwa timu ilianza kuvurugika pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…