Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

Tetesi: Kiungo konokono awazimia simu viongozi

Mimi nadhani Yanga huwa hawana nia ya kumsajili ila wanachofanya ni kumpaisha mchezaji kama vile wanamsajili ingawa nia yao ni kuwakomoa Simba watoe fedha nyingi kwa mchezaji.
Na ndicho walichojaribu kufanya kwa moses phiri ila makolo wakaamua liwalo na liwe
 
Fake newz!Hebu onja maji ya kunywa hapo kama siyo chai.
Ww unapinga ushafika Dodoma au unaishi dodoma?? Mbona unapinga hovyo tuu? Fake news?? Mm mwenyewe kwangu nina migomba ya ndizi...mahali popote unalima kama una vyanzo vy maji..kilimo cha kutegemea mvua kimepitwa na wakati njoo Dom uone watu wanavyolima mashamba kwa maji ya kumwagilia toka kwny visima vikubwa walivyochimba...
 
Baada yakupandwa hasira na kuamua kuondoka nchini hivi karibuni na kurudi kwako, Habari za hivi punde ni kwamba yule kiungo mwenye mwendo wa bibi harusi, mwendo wa pole kama mdudu aina ya konokono sasa hivi hapatikani kwenye simu.

Paka tunapoenda mitamboni ni kwamba
Viongozi wanahaha kumtafuta bila mafanikio,
Tutaendelea kuwajuza kila kinachoendelea
Ongezea kiungo aliye top ten ya wafungaji wa muda wote club bingwa
 
Tatizo la Simba ni kutokua na umahiri wa kufanya replacement sahihi ya wachezaji kwa Sasa..Ni dhahiri kwamba kwa manufaa ya timu chama angetakiwa apewe mkono wa kwaheri maana ameshaota mapembe kiasi hata yy mwenyewe anajiona yupo juu ya klabu
 
Mchezaji kila dirisha la usajili hua anasajiliwa yanga msimu unapo anza anacheza Simba sijui hii kitaalum imekaaje
Litakua jambo la kijinga kuendelea kumng'ang'ania Chama mchezaji asiyeiheshimu club.
 
Tatizo la Simba ni kutokua na umahiri wa kufanya replacement sahihi ya wachezaji kwa Sasa..Ni dhahiri kwamba kwa manufaa ya timu chama angetakiwa apewe mkono wa kwaheri maana ameshaota mapembe kiasi hata yy mwenyewe anajiona yupo juu ya klabu
Mi nilishangaa aliporudishwa timu ilianza kuvurugika pale.
 
Back
Top Bottom