Kiungo kwenye mwili wako unapaswa kukiomba msamaha kwa matumizi mabaya?

Kiungo kwenye mwili wako unapaswa kukiomba msamaha kwa matumizi mabaya?

1000077024.jpg
1000077024.jpg
 
Akili ama ubongo, sijuutumia inavyo takiwa .
Hii imepelekea viungo vyote kwenye mwili kuishi kwa taabu , kama akili ingetumika ipasavyo ningeweza kuyaishi vizuri mazingira yanayo nizinguka.
Nisingekuwa nasumbuliwa na umaskini ama viumbe vidogo kama bakteria na hata hawa wadudu kana mbu nk.
 
Back
Top Bottom