Kiungo PSG akiri kuwa mwanamke

Kiungo PSG akiri kuwa mwanamke

Sina uhakika kama taarifa hizi ni za kweli ila tambua tu kuwa waitaliano huwa wanakitu wanakiita "escudento" kwa tafsiri ya kawaida unaweza kusema "biskuti" huwa ni taarifa za kutunga na kuvumisha lakini baadae wanakuja kukiri kuwa siyo kweli.huwa ni mtandao kabisa unaoanzisha huo uzushi kwa ajili ya 'kuwashika watu maskio'.kama unakumbuka kama miaka 2 hivi walitoa habari za tyson kujigeuza mwanamke na wakaweka na picha akiwa amevalia mavazi ya kike but with time wakasema it was an escudento.
 
Taarifa hizi si Kweli kabisa Maana Marco verati ni Dume tena ana familia Nzuri tu ana mke na Mtoto mmoja
 
samahani kwanza kwa kukwoti,sina uhakika kama taarifa hizi ni za kweli ila tambua tu kuwa waitaliano huwa wanakitu wanakiita "escudento" kwa tafsiri ya kawaida unaweza kusema "biskuti" huwa ni taarifa za kutunga na kuvumisha lakini baadae wanakuja kukiri kuwa siyo kweli.huwa ni mtandao kabisa unaoanzisha huo uzushi kwa ajili ya 'kuwashika watu maskio'.kama unakumbuka kama miaka 2 hivi walitoa habari za tyson kujigeuza mwanamke na wakaweka na picha akiwa amevalia mavazi ya kike but with time wakasema it was an escudento.

Hapo umenena Mkuu.
Hakuna media yeyote kubwa iliyotangaza hizi habari, watu wanaojua ethics za journalism wanaweza kutuambia vizuri coz wanaelewa how the game is.
Pili, kuna media Kama BBC- sport, www.goal.com, www.skysports.com, www.team talk.com, www.tribunalsoccer.com na dailymirrow-sports.com kote huko siajona hizo habari.

Ni Sawa Sawa na gazeti la Risasi kuandika Diamond kafumaniwa na Omotola
 
Hii Habari ni ya magezeti ya kidaku haina ukweli wowote ule.
 
Hii Habari ni ya magezeti ya kidaku haina ukweli wowote ule.
 
Story za kijiweni hizi,wanamjua Verrati huu sio ukweli
 

Magazeti ya Tanzania yamegubikwa na waandishi makanjanja...

Habari kama hizi huandikwa pasipo kufanya utafiti wa kina na bahati mbaya hata mhariri mkuu kaipitisha...
 
Mwanamke hawezi.kuwa huyu
 

Attachments

  • IMG_20150513_133151.jpg
    IMG_20150513_133151.jpg
    61.5 KB · Views: 287
  • IMG_20150513_133153.jpg
    IMG_20150513_133153.jpg
    45.5 KB · Views: 287
Back
Top Bottom