chakufia nini
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 692
- 456
Sina uhakika kama taarifa hizi ni za kweli ila tambua tu kuwa waitaliano huwa wanakitu wanakiita "escudento" kwa tafsiri ya kawaida unaweza kusema "biskuti" huwa ni taarifa za kutunga na kuvumisha lakini baadae wanakuja kukiri kuwa siyo kweli.huwa ni mtandao kabisa unaoanzisha huo uzushi kwa ajili ya 'kuwashika watu maskio'.kama unakumbuka kama miaka 2 hivi walitoa habari za tyson kujigeuza mwanamke na wakaweka na picha akiwa amevalia mavazi ya kike but with time wakasema it was an escudento.