Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

Huyo jamaa kama kaondoka yanga nimefurai sana.maana kati ya wachezaji niliokua nawaona wamekamilika na alikua anatukamata pale kati ni huyo jamaa.Hao viungo wenu waliobaki hakuna mtu wa kazi kama mukoko.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi ya mukoko kwa Yanga ni dhahiri kabisa jumlisha na juhudi zake daah nimesikitika ila Mungu atambariki tuu.
Mchezaji hawezi kukaa timu ambayo hachezi inamharibia Cv ata ukicheki umri wake plus malengo aliyojiwekea inakua ngumu.
 
Huyo jamaa kama kaondoka yanga nimefurai sana.maana kati ya wachezaji niliokua nawaona wamekamilika na alikua anatukamata pale kati ni huyo jamaa.Hao viungo wenu waliobaki hakuna mtu wa kazi kama mukoko.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yupo Mzee wa kazi chafu, kitasa Yanik Bangala litombo muulize lwanga anamjua mchizi alipigwa dole hadi pumzi ilikata, akigeuka Feisal mbrazibar akala kanzu mwana akaanza kucheza marafu ya kiboya akala red hiyo ilikua ngao ya jamii.
 
Habari njema hizi ...
Kila la kheri Mukoko .
 
Mimi nimeumia Sana kwa kweli.

Jamaa aliipambania Sana team hata pale tulipokuwa hovyo alijitolea jasho na damu

Hii tabia ya kuacha wachezaji kila msimu itatukosti Sana huko kimataifa.

Huyu chico kaja kati kati ya ligi wa nini?

Hawa viongozi wetu ni wasenge Sana mamayo zao.

Wachezaji kama mukoko wanahitajika Sana huko kimataifa..

Haya tupo CAF na bangala akaumia tuanze kumpanga zawadi kweli?

Sometimes management ya yanga naonaga hatupo serious kabisa na mafanikio...
Nami kaniuma sana ati.
 
Kila lakheri Mukoko Teacher.
Ukiwa mwananchi utaendelea tu kuwa mwananchi, jamaa kasaini mkataba na TP Mazembe akiwa full na gwanda za kiuwananchi

FJ4tuF_XMAg52Ti.jpeg
 
Yupo Mzee wa kazi chafu, kitasa Yanik Bangala litombo muulize lwanga anamjua mchizi alipigwa dole hadi pumzi ilikata, akigeuka Feisal mbrazibar akala kanzu mwana akaanza kucheza marafu ya kiboya akala red hiyo ilikua ngao ya jamii.
Hao wote hakuna anayefikia mziki wa mkoko.Kwenye ligi hii yakukamiana huyo bangala wako atachoka mapema sana.Sema uzuri yanga wana wachezaji wengi wa kucheza katikati.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom