hakuna kesi yoyote yule rc alitaka kumuonesha ubabe ali kamweHiv kesi ya RC na Ali Kamwe iliishia wap?
Ashirikiane na msemaji wao.Mvaa shati la Kipaimara amlipe
Kwa hiyo ulitaka ashinde mechi badala ya kufurahi alie... hii nchini kwa nini mabwege mnazidi kuwa wengi badala ya kupungua..Alifurahia,kukenua na meno yote nje kisa ameshiriki kutupa kibano cha goli tatu kwa nunge, sasa asilie lie akale alipopeleka mboga.
Wewe ndiye bwege nambari Moja hii nchini unamaanisha niniKwa hiyo ulitaka ashinde mechi badala ya kufurahi alie... hii nchini kwa nini mabwege mnazidi kuwa wengi badala ya kupungua..
Namaanisha matakor yakoWewe ndiye bwege nambari Moja hii nchini unamaanisha nini