Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
anamaanisha.....leo alifanya kazi sana (ofisini labda) sasa akamwambia rafiki wa bf kuwa.....leo alifanya kazi sana mpaka kiuno kinauma.....umeelewa sasa....?
duh wewe kweli mtata lolsie kwetu huku ukisema hivo ni kama umemwambia mtu una hamu eti, kakasirika, ni kama ameonekana hafanyi kazi yake vizuri

Thanx preta afu hata ofcn ucngeweka mabano coz ndiko huko huko nimeinama frm mrng mpk tisa na nusu ndo natoka.
...Mnaanzaga hivi hivi...baadaye mnalaumu eh!Ungemwambia ambae kinamhusu...au ulitaka shemeji akusaidie kukikanda?!

Jamani mi ckujua coz ndipo palipokuwa panauma afta kuinama kwenye computer cku nzima.itabd niombe msamaha

we acha kutudanganya, wewe una lako jambo na huyo ulo mwambia, unainama kwenye computer maana yake nini, mbona si hatuinami, tumekaa kwenye kiti,

alafu siku nyingine usilete izi ishu za kishenzi hapa.