Kiuno kimeniletea matatizo!

Kiuno kimeniletea matatizo!

anamaanisha.....leo alifanya kazi sana (ofisini labda) sasa akamwambia rafiki wa bf kuwa.....leo alifanya kazi sana mpaka kiuno kinauma.....umeelewa sasa....?

Asante kwa ufafanuz Preta, maana nami ni mmojawapo ambaye sikuelewa! mhhhh!!!

wewe unazungumzia motor ya mzee kwa rafiki yake!!?

sie kwetu huku ukisema hivo ni kama umemwambia mtu una hamu eti, kakasirika, ni kama ameonekana hafanyi kazi yake vizuri

Thanx preta afu hata ofcn ucngeweka mabano coz ndiko huko huko nimeinama frm mrng mpk tisa na nusu ndo natoka.

Hapo kwenye red, hata mm umeniamsha kidogo, duh! pole kwa kuchoka pia pongezi kwa kuwa muinamaji mzuri

Jamani mi ckujua coz ndipo palipokuwa panauma afta kuinama kwenye computer cku nzima.itabd niombe msamaha

we acha kutudanganya, wewe una lako jambo na huyo ulo mwambia, unainama kwenye computer maana yake nini, mbona si hatuinami, tumekaa kwenye kiti,
alafu siku nyingine usilete izi ishu za kishenzi hapa.

we acha kutudanganya, wewe una lako jambo na huyo ulo mwambia, unainama kwenye computer maana yake nini, mbona si hatuinami, tumekaa kwenye kiti,

alafu siku nyingine usilete izi ishu za kishenzi hapa.

We ndio umeona za kishenzi kwanza hujalazimisha kucoment wala kufungua hii thread acha kudandia treni kwa mbele itakugonga,jiheshimu

Back
Top Bottom