Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
anamaanisha.....leo alifanya kazi sana (ofisini labda) sasa akamwambia rafiki wa bf kuwa.....leo alifanya kazi sana mpaka kiuno kinauma.....umeelewa sasa....?
Asante kwa ufafanuz Preta, maana nami ni mmojawapo ambaye sikuelewa! mhhhh!!!