Kiuno . . . . . .

Wambie wakupe ntalipa!
Maana umemwaga mavitu ya kufa mtu.......lol.Sasa hako kaelimu sisi wakaka huwezi kutupa?alafu unatufanyia na ka-practical ili uone kama tumeweza?Ebu funguka pls.
spika elimu gani tena na nimesha kueleza kila kitu yaani umuhimu wake katika kunogesha tendo la ndoa. cha msingi wee kama hujui kukatika fanya hivi jifungie rum weka mziki hasa wa kilingala halafu katika taratibu bila jasho. ukiweza kupractce kwa kutumia muziki wkwenye tv ni vizuri zaid. Jitahidi bwana manake haipendez kila siku mtu unakuna nazi tu lol!

kuhusu practcal sitoweza kukusaidia manake swala la ngono halina kushare na pia siwez nikakupatia binti halaf nkaa nikawa naangalia unavyofanya. ila naamin katika kujifunza hasa yale mambo mazuri ambayo mtu ulikuwa huyajui.
 
Last edited by a moderator:

au kama vipi akawacheck kanga moko laki si pesa kule ndio atapata somo zuri la practical
 
Last edited by a moderator:
Heheh.....mie nimekufagilia kweli kwa lile comment lako gfsonwin, full ujazo!! Ila sasa kwa sie wenye viuno kama viazi mbatata duh....kazi ipo!

@ Kipipi usiseme kiuno kigumu hapana fanya mazoezi ya kukilegeza. mwili wa mtu uko very flexible kama atautrain kuwa hivyo. Mimi ni mnene kiais kg 75 ila nyuzi 360 napeleka kama kawa na nina mazoezi ya kutosha ili kuwa flexible. tena wewe mdada achana na hiyo kitu ya uvivu, kata nyonga anza kujifunza taratibu na usione aibu.
 
Mimi nilidhani ndiyo unataka kutoa darasa kwa wale tusiojua ili tuweze kujifunza umuhimu wake badala yake kumbe unatuacha hewani tu, sasa tutajifunza wapi??

ndo nilikua natoa macho hapa,,,halafu tips sizioni
 
mh kiuno ndo kinaboresha uhusiano hii mpya
ogo

wala siyo mpya mtotowamjini siku zote kiuno huleta mnogo kwenye sebene so, na kama sebene siyo la uhakika nakuhakikishia kucheat lazima kutakuwepo tu. Kuna study moja ilifanywa na watu wa gender huko south africa, kuhusu uaminifu katika ndoa, idadi kubwa ya walioonekana kucheat miongoni mwa wanaume sababu kubwa ya wao kucheat ilikuwa ni tabia, bali miongoni mwa wanawake sababu kubwa ya wao kucheat ni kukosa vitu wanavyovitaka na wengi wao walisema kuridhika katika tendo la ndoa. So ili kumfanya mwenzi wako aridhike ni busara kutumia kila mbinu ya utundu ikiwemo kukitumia vizur kiuno chako. Hope umenielewa.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin umemaliza kila kitu,big up..
 
Last edited by a moderator:
Nani mwanamke mwenye kiuno kizuri hapa JF.
 
gfsonwin, nawaza tuu yukoje huyu maana mambo haya si mchezo!
 

naona teacher umetoa hints madesa kutafuta wenyewe.
 

mwaga hapa hapa hakuna anayekujua kwa id yako hyo.
 
gfsonwin, nawaza tuu yukoje huyu maana mambo haya si mchezo!
Ronn M, usihofu sana mimi ni wa kawaida tu ni mwanamke, ambaye nilkulia kijijini enzi hizo vigori wakiwa wanafundwa unyago. Nataman sana kama ingewezekana basi warudishe mafundo yale ya zamani siyo haya ya sasa nafikir wengi wa vijana kama wewe mngefaid sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…