gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Unatumia kinywaji gani?
tonic water
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia kinywaji gani?
tonic water
BADILI TABIA ........dah hiyo ni midadi au?? Lolgfsonwin
walahhhhhhhhiiiii.......
Ni jambo ambalo wanaume wengi hawalijui....
Mkikata kiuno panapo majambozi raha apatayo mwanamke haielezeki.....
Atapanda kileleni kadri uamuavyo........
spika elimu gani tena na nimesha kueleza kila kitu yaani umuhimu wake katika kunogesha tendo la ndoa. cha msingi wee kama hujui kukatika fanya hivi jifungie rum weka mziki hasa wa kilingala halafu katika taratibu bila jasho. ukiweza kupractce kwa kutumia muziki wkwenye tv ni vizuri zaid. Jitahidi bwana manake haipendez kila siku mtu unakuna nazi tu lol!Wambie wakupe ntalipa!
Maana umemwaga mavitu ya kufa mtu.......lol.Sasa hako kaelimu sisi wakaka huwezi kutupa?alafu unatufanyia na ka-practical ili uone kama tumeweza?Ebu funguka pls.
tonic water
spika elimu gani tena na nimesha kueleza kila kitu yaani umuhimu wake katika kunogesha tendo la ndoa. cha msingi wee kama hujui kukatika fanya hivi jifungie rum weka mziki hasa wa kilingala halafu katika taratibu bila jasho. ukiweza kupractce kwa kutumia muziki wkwenye tv ni vizuri zaid. Jitahidi bwana manake haipendez kila siku mtu unakuna nazi tu lol!
kuhusu practcal sitoweza kukusaidia manake swala la ngono halina kushare na pia siwez nikakupatia binti halaf nkaa nikawa naangalia unavyofanya. ila naamin katika kujifunza hasa yale mambo mazuri ambayo mtu ulikuwa huyajui.
Heheh.....mie nimekufagilia kweli kwa lile comment lako gfsonwin, full ujazo!! Ila sasa kwa sie wenye viuno kama viazi mbatata duh....kazi ipo!
Mimi nilidhani ndiyo unataka kutoa darasa kwa wale tusiojua ili tuweze kujifunza umuhimu wake badala yake kumbe unatuacha hewani tu, sasa tutajifunza wapi??
ogomh kiuno ndo kinaboresha uhusiano hii mpya
gfsonwin umemaliza kila kitu,big up..Preta naomba nikwambie kidogo tu japo hapa siyo pa kujimwaga zaid. Iko hivi kiuno kama kiuno kina kazi moja tu katika game, hiki huleta hamasa na mnogo fulani. Kiuno chako kama mwanamke unatakiwa ukirembe kwa shanga kidogo siyo nyingi zenye rangi nzuri na zisizo kuwa nene sana yaani zile za shingoni. kama unaweza basi kiveshe mkufu wa dhahabu au silver. Urembaji huu unatokana na ukweli kuwa mwanamke ni pambo la nyumba so chumbani kwako ndipo nyumbani kwako wakati huo na ndipo unapotakiwa uwe na mvuto sana na mrembo zaid.
Sasa kiuono kilichoveshwa urembo huu au hata kama hakija veshwa kina kazi moja tu ya kuleta uwanja wa mchezo kuwa na raha. Jamani siyo siri wote tunapaswa kukatika tena ikiwezekana mmoja akikata kulia mwingine ana kata kushoto lol hapo lazima mtafurahia tendo la ndoa kuliko kawaida. haitakiwi ukate kama una cheza ngoma la bali ni taratibu stail ya staki nataka huku ukibadili mwendo mara kushoto mara kulia unamalizia na kushtua kiduku kidogo.
Binafsi sipend jinsi ambavyo wadada wanavyovianika viuno vyao nje, hii hukera sana kwani huwa najiuliza hizo shanga anamuonyesha nani? na je akiambiwa aseme maana yake naijua? sisi tuliochezwa zamani tuliambiwa maana ya kila rangi ya shanga na idadi yake bali wadada wa kileo hilo hakuna wa kuwaambia. Kwao wanakwenda na wakati basi.
wakaka na ninyi jifunzeni kukata viuno vyenu, mapenzi ya kukuna nazi hayapo tena siku hizi ni stail ya nyuzi 360 mpo wakaka wa jf? Babu yenu ODM awape shule, ila ukweli ni kwamba mkaka anayejua kukitumia kiuno chake ipasavyo huwa anapagawisha sana tu tena huwa hachoki sana kwani huwa anapokata kunavibration fulani ambayo humfanya mwanamke afike mapema zaid tena pasi kutumia nguvu nyingi. mmmmh! jaman naishia hapa kwa leo. maswali mnipm manake hapa naogopa kusema zaid
Kiuno kila mmoja wetu anakijua,kinamatumizi mengi kwenye shughuli zetu za kila siku.Lakini kwenye mapenzi au mahusiano kina kazi nyingine hasa kunako game,kiuno kikitumika vyema husaidia kuboresha uhusiano ila ukichemka kinakosa maana.Na matumizi au umuhimu wake ni kwa jinsia zote.Je wajua matumizi yake?Kama hujui ni bora ukajifunza umuhimu wake ili uboreshe uhusiano wako!
Preta naomba nikwambie kidogo tu japo hapa siyo pa kujimwaga zaid. Iko hivi kiuno kama kiuno kina kazi moja tu katika game, hiki huleta hamasa na mnogo fulani. Kiuno chako kama mwanamke unatakiwa ukirembe kwa shanga kidogo siyo nyingi zenye rangi nzuri na zisizo kuwa nene sana yaani zile za shingoni. kama unaweza basi kiveshe mkufu wa dhahabu au silver. Urembaji huu unatokana na ukweli kuwa mwanamke ni pambo la nyumba so chumbani kwako ndipo nyumbani kwako wakati huo na ndipo unapotakiwa uwe na mvuto sana na mrembo zaid.
Sasa kiuono kilichoveshwa urembo huu au hata kama hakija veshwa kina kazi moja tu ya kuleta uwanja wa mchezo kuwa na raha. Jamani siyo siri wote tunapaswa kukatika tena ikiwezekana mmoja akikata kulia mwingine ana kata kushoto lol hapo lazima mtafurahia tendo la ndoa kuliko kawaida. haitakiwi ukate kama una cheza ngoma la bali ni taratibu stail ya staki nataka huku ukibadili mwendo mara kushoto mara kulia unamalizia na kushtua kiduku kidogo.
Binafsi sipend jinsi ambavyo wadada wanavyovianika viuno vyao nje, hii hukera sana kwani huwa najiuliza hizo shanga anamuonyesha nani? na je akiambiwa aseme maana yake naijua? sisi tuliochezwa zamani tuliambiwa maana ya kila rangi ya shanga na idadi yake bali wadada wa kileo hilo hakuna wa kuwaambia. Kwao wanakwenda na wakati basi.
wakaka na ninyi jifunzeni kukata viuno vyenu, mapenzi ya kukuna nazi hayapo tena siku hizi ni stail ya nyuzi 360 mpo wakaka wa jf? Babu yenu ODM awape shule, ila ukweli ni kwamba mkaka anayejua kukitumia kiuno chake ipasavyo huwa anapagawisha sana tu tena huwa hachoki sana kwani huwa anapokata kunavibration fulani ambayo humfanya mwanamke afike mapema zaid tena pasi kutumia nguvu nyingi. mmmmh! jaman naishia hapa kwa leo. maswali mnipm manake hapa naogopa kusema zaid
Ronn M, usihofu sana mimi ni wa kawaida tu ni mwanamke, ambaye nilkulia kijijini enzi hizo vigori wakiwa wanafundwa unyago. Nataman sana kama ingewezekana basi warudishe mafundo yale ya zamani siyo haya ya sasa nafikir wengi wa vijana kama wewe mngefaid sanagfsonwin, nawaza tuu yukoje huyu maana mambo haya si mchezo!
BADILI TABIA ........dah hiyo ni midadi au?? Lol