Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

Kiongozi wa kitaifa anapaswa kufanyiwa arresting na Police officer sio askari wa polisi. Labda kwa makosa yale tu ambayo unaweza kuyaweka sehemu ya dharula. Maana kuna makosa mtu akitenda hata raia wa kawaida anaweza kumdaka na kumpeleka kituoni bila kujali wadhifa wa mtu. Mfano: ukimkuta mtu anaua na una uwezo wa kumshika utamshika au utakwenda police kuwapa taarifa?
Polisi wanajua Sheria ila huzipuuza wakidhani kuwa wananchi hawazijui
Ufafanuzi mzuri huuu🙏🙏🙏🙏
 
Mkuu haya mambo Huwa yanafikirisha Sana, inawezekana ikawa uko sahihi kwamba anaweza akaitwa akaenda lakini wakati mwingine wanaitwa na hawaendi mfano TUNDU LISU juzi tu aliitwa na akasema haendi
Ukikataa ndo pale police atakufata physically kukukamata ikiwa kweli kuna kosa la jinai umefanya
 
Askari anayekuja kukukamata anapaswa kuwa na warrant of arrest, hivyo kukukamata bila warrant of arrest kuna cheo anaweza kufanya hivyo.
 
Mkuu haya mambo Huwa yanafikirisha Sana, inawezekana ikawa uko sahihi kwamba anaweza akaitwa akaenda lakini wakati mwingine wanaitwa na hawaendi mfano TUNDU LISU juzi tu aliitwa na akasema haendi

..kumuita mhusika kituo cha Polisi kuna sheria na taratibu zake.

..pia kumkamata mtuhumiwa kuna sheria na taratibu zake.

..Lissu alipokataa kuripoti Polisi alitoa sababu za kisheria na kiutaratibu za kukataa wito.

..kwa mfano, Igp Sirro alikwenda ktk vyombo vya habari na kumtaka Lissu aripoti kituo Moshi, Kilimanjaro.

..Lissu alikuwa Dsm na alikataa wito huo kwasababu Igp Sirro hakufuata sheria wala taratibu za kumuita kituoni.
 
Back
Top Bottom