Kiusalama Marehemu Mchungaji Mtikila alikuwa na cheo gani??

Mkuu haya mambo Huwa yanafikirisha Sana, inawezekana ikawa uko sahihi kwamba anaweza akaitwa akaenda lakini wakati mwingine wanaitwa na hawaendi mfano TUNDU LISU juzi tu aliitwa na akasema haendi

Aliona hawana hoja na hawatumii akili. Je walimkamata baada ya yeye kusema haendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…