Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania.
Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya wananchi kuuliza maswali mengi na kuwafanya wafikirie kuhusu uongozi mbadala wa ule uliopo sasa.
Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya wananchi kuuliza maswali mengi na kuwafanya wafikirie kuhusu uongozi mbadala wa ule uliopo sasa.