Kimekuwa changamoto kivipi?Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania.
Kwa siku za hivi karibuni kivuko hiki kimekuwa ni changamoto kubwa. Kwa sasa wananchi wengi walio na haraka kuelekea kazini wanalazimika kutumia bodaboda kupitia Daraja la Nyerere ambayo hii ni gharama kubwa sana ukizingatia kipato cha mtanzania.
Hili ni suala ambalo limeendelea kuwafanya wananchi kuuliza maswali mengi na kuwafanya wafikirie kuhusu uongozi mbadala wa ule uliopo sasa.
Hata hivyo wamejitahidi zamani kulikuwa na mitumbwi ,nakaa Kinondoni kibarua TAZAMA ,mitumbwi imeua watu sana hapo,nadhani late 80's or ealry 90's ndiyo wakaleta pantoni.Hapo mpaka yatokee maafa ndio watajifanya kuboresha hivyo vivuko.