Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais ajaye ni John Pombe Magufuli labda afe tu. Kwa vitendo anavyotenda vya kukanyaga Katiba, kukandamiza upinzani, kuua wakosoaji Kama Ben Saanane na Azory, kuiba uchaguzi Mkuu, kupendela Kijiji chake cha Chato, matumizi mabaya ya Trillion 2.4, ni wazi hawezi kutoka.Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa, serikali ijayo na Rais ajae.
Nadhani hata Rais ajae akisikia jina la Magufuli atakuwa anatetemeka kwasababu ya kile kivuli chake bado kitakuwa na nguvu.
Kwa viwango vyovyote Rais Magufuli sio dikteta kiviile Kama anavyosemwa kwenye social media ila narudia Tena ila tukipata Rais atakayemzidi ukali Magufuli hapo tutakuwa tumepata dikteta kamili haswaaa.
Kwasasa naendelea kuamini rais Magufuli ni mwajibikaji wa kawaida ambae hatukuzoea viongozi wetu wawe hivyo na pia anateleza kibinadamu kwasababu pengine washauri wake wanamwogopa.
Jambo moja nadhani ni hakika Rais Magufuli atakuwa na nguvu kubwa hata baada ya kustaafu urais mwaka 2025. Sababu kubwa ni namna anavyowapelekesha watu wema na wazembe katika utendaji wake.
SAHIHISHO: Nyerere alikuwa haogopwi ila alikuwa anaheshimiwa na Watanzania na hata Marais wa nchi nyingine nyingi tu walimheshimu sana.Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa, serikali ijayo na Rais ajae.
Nadhani hata Rais ajae akisikia jina la Magufuli atakuwa anatetemeka kwasababu ya kile kivuli chake bado kitakuwa na nguvu.
Kwa viwango vyovyote Rais Magufuli sio dikteta kiviile Kama anavyosemwa kwenye social media ila narudia Tena ila tukipata Rais atakayemzidi ukali Magufuli hapo tutakuwa tumepata dikteta kamili haswaaa.
Kwasasa naendelea kuamini rais Magufuli ni mwajibikaji wa kawaida ambae hatukuzoea viongozi wetu wawe hivyo na pia anateleza kibinadamu kwasababu pengine washauri wake wanamwogopa.
Jambo moja nadhani ni hakika Rais Magufuli atakuwa na nguvu kubwa hata baada ya kustaafu urais mwaka 2025. Sababu kubwa ni namna anavyowapelekesha watu wema na wazembe katika utendaji wake.
Kuna shida Kubwa ya uchumi na biashara, Swala la kodi Kubwa hakuna anayetaka kuliongelea ila serikali inakosa mapato kwa kuwa na watu wenye roho mbaya, na hawajui namna ya kuisaidia serikali iongeze mapato.Serikali imekua yaki jambazi, bank wanakwapua hela za watu bila taarifa, mitandao ya simu gharama hazikamatiki, kodi zimepanda maradufu, makato kwenye mishahara ni kizaizai, trafic na madereva ni kuwindana kama wanyama pori, TRA ni kubambikizana kodi, bei za vyakula kizunguzungu.
Sioni tofauti ya hawa hapo juu na futuhi.
Africa gani ya kumuiga Meko? Labda Afrika Sana ya Sinza au njia panda ya Afrikana kule SalasalaTatizo nikwamba watanzania walio wazembe walizoea vya bure, kumchukia Rais magufuri ni kawaida. Lkn wenye akili timu wanatambua hichi inapaswa ifike wapi kwa sasa kwani tulichelewe. Naiman kabisa Rais wetu ni mfano wa kuigwa katika Africa
Wakipatikana watu kaa wewe waliokaribu na raisi.Huyu kiumbe atapata tabu sana akijidanganya kuondoka ikulu maana aliyoyafanya kwa taifa hili na watu wake ni MUNGU tu anayejua
Wote wanavizia mshahara ambao haujaongezwa miaka 6 SASA. Hata kama hujasoma huwezi kufanya Mambo anayofanya Magufuli.Serikali imekua yaki jambazi, bank wanakwapua hela za watu bila taarifa, mitandao ya simu gharama hazikamatiki, kodi zimepanda maradufu, makato kwenye mishahara ni kizaizai, trafic na madereva ni kuwindana kama wanyama pori, TRA ni kubambikizana kodi, bei za vyakula kizunguzungu.
Asante kwa kuweka vuzuri. Vijana wengi wanaandika tu na hawamuelewi Nyerere. Na nawachukia sana hasa wale wanaotaka kumfaninisha na huyu kibwengo.SAHIHISHO: Nyerere alikuwa haogopwi ila alikuwa anaheshimiwa na Watanzania na hata Marais wa nchi nyingine nyingi tu walimheshimu sana.
Nataka kusema kwamba kivuli chake kitamtesa yeye mwenyewe kwani hata wanaomchekea sasahivi ni kwa sababu ya nafasi tu akitoka madarakani ndio atazijua sura halisi za kina kalamagamba ba wenzake hasa kipindi ambacho mamlaka yatakuwa yanawatoka ba kuhamia kwa wengineEti 'akijidanganya'!!
Unataka kusema nini bwashee?
👊👊, ila atapita na kusahaulika tu.Nyerere aliogopwa kwa ukali, huyu anaogopwa kwa jazba na matumizi ya kundi la watu wasiojulikana.
Anaogopwa labda na nyinyi Buku 7 wa Lumumba! Aogopwe kwa sababu ya nini!! Amekuwa Mungu mpaka aogopwe? Mbona Lissu alimnyoosha kiasi cha pumzi kumuishia mara kwa mara wakati wa kampeni na hakumfanya kitu?Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa, serikali ijayo na Rais ajae.
Nadhani hata Rais ajae akisikia jina la Magufuli atakuwa anatetemeka kwasababu ya kile kivuli chake bado kitakuwa na nguvu.
Kwa viwango vyovyote Rais Magufuli sio dikteta kiviile Kama anavyosemwa kwenye social media ila narudia Tena ila tukipata Rais atakayemzidi ukali Magufuli hapo tutakuwa tumepata dikteta kamili haswaaa.
Kwasasa naendelea kuamini rais Magufuli ni mwajibikaji wa kawaida ambae hatukuzoea viongozi wetu wawe hivyo na pia anateleza kibinadamu kwasababu pengine washauri wake wanamwogopa.
Jambo moja nadhani ni hakika Rais Magufuli atakuwa na nguvu kubwa hata baada ya kustaafu urais mwaka 2025. Sababu kubwa ni namna anavyowapelekesha watu wema na wazembe katika utendaji wake.
Nataka kusema kwamba kivuli chake kitamtesa yeye mwenyewe kwani hata wanaomchekea sasahivi ni kwa sababu ya nafasi tu akitoka madarakani ndio atazijua sura halisi za kina kalamagamba ba wenzake hasa kipindi ambacho mamlaka yatakuwa yanawatoka ba kuhamia kwa wengine
Rais ajayme atakuwa ameshazoeleka..hakuna wa kumuogopa tena.Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa, serikali ijayo na Rais ajae.
Nadhani hata Rais ajae akisikia jina la Magufuli atakuwa anatetemeka kwasababu ya kile kivuli chake bado kitakuwa na nguvu.
Kwa viwango vyovyote Rais Magufuli sio dikteta kiviile Kama anavyosemwa kwenye social media ila narudia Tena ila tukipata Rais atakayemzidi ukali Magufuli hapo tutakuwa tumepata dikteta kamili haswaaa.
Kwasasa naendelea kuamini rais Magufuli ni mwajibikaji wa kawaida ambae hatukuzoea viongozi wetu wawe hivyo na pia anateleza kibinadamu kwasababu pengine washauri wake wanamwogopa.
Jambo moja nadhani ni hakika Rais Magufuli atakuwa na nguvu kubwa hata baada ya kustaafu urais mwaka 2025. Sababu kubwa ni namna anavyowapelekesha watu wema na wazembe katika utendaji wake.
Nikuhakikishie hata kwa mfano bahati mbaya Rais ajaye awe Zero brain Bashite, atamgeuzia kibao tu na kumshtakiAngalia mfano rahisi kutupilia mbali hoja yako
Donald Trump alikuwa na ushawishi mkubwa sana Marekani na nje ya nchi hiyo Sasa mwezi moja tuu tangu aachie ngazi kila kitu chake kimetupiliwa mbali. Isitoshe bange limemfungulia mashtaka.
Nani alisema binti wa dikteta wa zaidi ya miongo mitatu wa Angola leo kafilisiwa na ana kesi lukuki za ufisadi
Huyu wenu akiondoka ana maswali mengi ya kujibu ikiwemo 1.5 trillion na Ben Saanane nk.