Kivuli cha Rais Magufuli kitalitesa taifa na kitamtesa Rais ajaye

Kivuli cha Rais Magufuli kitalitesa taifa na kitamtesa Rais ajaye

Ni wazi kwamba kwasasa Rais Magufuli anaogopwa Sana kuliko mtanzania yeyote aliyewahi kuwako mpaka Sasa. Nadhani Rais magufuli anaogopwa kuliko alivyoogopwa Nyerere aka mchonga Mwinyi, Mkapa na Kikwete.

Hivyo basi nadhani hata atakapostaafu kivuli chake kitakuwa na nguvu sana ndani ya taifa, serikali ijayo na Rais ajae.

Nadhani hata Rais ajae akisikia jina la Magufuli atakuwa anatetemeka kwasababu ya kile kivuli chake bado kitakuwa na nguvu.

Kwa viwango vyovyote Rais Magufuli sio dikteta kiviile Kama anavyosemwa kwenye social media ila narudia Tena ila tukipata Rais atakayemzidi ukali Magufuli hapo tutakuwa tumepata dikteta kamili haswaaa.

Kwasasa naendelea kuamini rais Magufuli ni mwajibikaji wa kawaida ambae hatukuzoea viongozi wetu wawe hivyo na pia anateleza kibinadamu kwasababu pengine washauri wake wanamwogopa.

Jambo moja nadhani ni hakika Rais Magufuli atakuwa na nguvu kubwa hata baada ya kustaafu urais mwaka 2025. Sababu kubwa ni namna anavyowapelekesha watu wema na wazembe katika utendaji wake.
Rais ajaye atapata shida sana hasa kwa suala la wamachinga, yaani imekuwa uchafu nchi nzima
 
Tatizo nikwamba watanzania walio wazembe walizoea vya bure, kumchukia Rais magufuri ni kawaida. Lkn wenye akili timu wanatambua hichi inapaswa ifike wapi kwa sasa kwani tulichelewe. Naiman kabisa Rais wetu ni mfano wa kuigwa katika Africa
Hata Kikwete alikuwa Rais wa mfano. Sasa hivi tunamuona garasha. Akitoka huyu ndo garasha zake zitawekwa bayana. Hapo ndo kujitetea kutakuwa kwiingi.
 
Ulisema akijidanganya kuachia madaraka, kwani ni hiari yake kuachia au kusalia?
Hukumsikia naibu supuka juzi bungeni baada ya yule kagi Lugola pati tu kuropoka? Na pia wewe uko tz au mbele mbele
 
Back
Top Bottom