Kivuli cha Rais Magufuli kitalitesa taifa na kitamtesa Rais ajaye

Tatizo nikwamba watanzania walio wazembe walizoea vya bure, kumchukia Rais magufuri ni kawaida. Lkn wenye akili timu wanatambua hichi inapaswa ifike wapi kwa sasa kwani tulichelewe. Naiman kabisa Rais wetu ni mfano wa kuigwa katika Africa
 
Rais ajaye ni John Pombe Magufuli labda afe tu. Kwa vitendo anavyotenda vya kukanyaga Katiba, kukandamiza upinzani, kuua wakosoaji Kama Ben Saanane na Azory, kuiba uchaguzi Mkuu, kupendela Kijiji chake cha Chato, matumizi mabaya ya Trillion 2.4, ni wazi hawezi kutoka.

Anajuwa kabisa hata nchi ikishikwa na watu wake wa karibu Kama Majaliwa au Lukuvu au Kabudi lazima watamuwajibisha. Huyu tunaye mpaka Ziraili achukue roho yake.
 
SAHIHISHO: Nyerere alikuwa haogopwi ila alikuwa anaheshimiwa na Watanzania na hata Marais wa nchi nyingine nyingi tu walimheshimu sana.
 
Kuna shida Kubwa ya uchumi na biashara, Swala la kodi Kubwa hakuna anayetaka kuliongelea ila serikali inakosa mapato kwa kuwa na watu wenye roho mbaya, na hawajui namna ya kuisaidia serikali iongeze mapato.
 
Tatizo nikwamba watanzania walio wazembe walizoea vya bure, kumchukia Rais magufuri ni kawaida. Lkn wenye akili timu wanatambua hichi inapaswa ifike wapi kwa sasa kwani tulichelewe. Naiman kabisa Rais wetu ni mfano wa kuigwa katika Africa
Africa gani ya kumuiga Meko? Labda Afrika Sana ya Sinza au njia panda ya Afrikana kule Salasala
 
Huyu kiumbe atapata tabu sana akijidanganya kuondoka ikulu maana aliyoyafanya kwa taifa hili na watu wake ni MUNGU tu anayejua
Wakipatikana watu kaa wewe waliokaribu na raisi.

Lazima akatalie Madarakani.
 
Wote wanavizia mshahara ambao haujaongezwa miaka 6 SASA. Hata kama hujasoma huwezi kufanya Mambo anayofanya Magufuli.
 
SAHIHISHO: Nyerere alikuwa haogopwi ila alikuwa anaheshimiwa na Watanzania na hata Marais wa nchi nyingine nyingi tu walimheshimu sana.
Asante kwa kuweka vuzuri. Vijana wengi wanaandika tu na hawamuelewi Nyerere. Na nawachukia sana hasa wale wanaotaka kumfaninisha na huyu kibwengo.
 
Angalia mfano rahisi kutupilia mbali hoja yako
Donald Trump alikuwa na ushawishi mkubwa sana Marekani na nje ya nchi hiyo Sasa mwezi moja tuu tangu aachie ngazi kila kitu chake kimetupiliwa mbali. Isitoshe bange limemfungulia mashtaka.
Nani alisema binti wa dikteta wa zaidi ya miongo mitatu wa Angola leo kafilisiwa na ana kesi lukuki za ufisadi
Huyu wenu akiondoka ana maswali mengi ya kujibu ikiwemo 1.5 trillion na Ben Saanane nk.
 
Eti 'akijidanganya'!!

Unataka kusema nini bwashee?
Nataka kusema kwamba kivuli chake kitamtesa yeye mwenyewe kwani hata wanaomchekea sasahivi ni kwa sababu ya nafasi tu akitoka madarakani ndio atazijua sura halisi za kina kalamagamba ba wenzake hasa kipindi ambacho mamlaka yatakuwa yanawatoka ba kuhamia kwa wengine
 
Anaogopwa labda na nyinyi Buku 7 wa Lumumba! Aogopwe kwa sababu ya nini!! Amekuwa Mungu mpaka aogopwe? Mbona Lissu alimnyoosha kiasi cha pumzi kumuishia mara kwa mara wakati wa kampeni na hakumfanya kitu?

Yaani hata Wafanyakazi nao tunamuogopa!!! Kwa sababu ya kutotupandisha madaraja na kutuongezea mshahara!!! Huu sasa ni utani. Mtu asiyetimiza wajibu wake kwa wengine na hivyo kuamua kuwatisha na kuwadhulumu haki zao, huwa haogopwi! isipokuwa anadharauliwa tu.
 

Ulisema akijidanganya kuachia madaraka, kwani ni hiari yake kuachia au kusalia?
 
Rais ajayme atakuwa ameshazoeleka..hakuna wa kumuogopa tena.
 
Nadhani haitakiwi kumwogopa Rais kwa maana ni binadamu mwenzetu na tumemchagua kwa kura zetu.

Kimsingi ni mtumishi wetu mpaka pale muda wake ukiisha na kofia ya Urais kuvaliwa na ajae.

Kuna issues za kum-face Rais ili kuokoa jahazi na kuna issues za kujadiliana nae tuje na solution working good for all of us.

Kwa wale wenye access nae mpeni hoja kama hii hapa chini ili kuja na inclusive solutions kwake na taifa kwa ujumla.


Kwa sifa ya usikivu aliyonayo kama ukihitaji inputs tutafutane ili tujenge Tanzania yetu.

Tunapomsikia Rais anasema hii nchi ni tajiri, huo ni ukweli usiopingika; tunaomba mkono wake ili sehemu ya utajiri uzidi kuwa tapped kwa kukuza fursa za kuwekeza ndani ili tupunguze imports na kuongeza exports.

Wasalaam
 
Huyu anaogopwa na nani ngoja atoke madarakani nadhani atakuwa Rais anayedharaulika kuliko wote waliopita. Waza Nyerere zama zake lakini alivyoondoka tu kila jambo likabadilika na hakuna hata mmoja aliyemuogopa sema walimuheshimu ila magu hata heshima hatoweza kuipata kamwe kila akipita atapewa booo boooo
 
Nikuhakikishie hata kwa mfano bahati mbaya Rais ajaye awe Zero brain Bashite, atamgeuzia kibao tu na kumshtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…