Kivuli cha Rais Magufuli kitalitesa taifa na kitamtesa Rais ajaye

Rais ajaye atapata shida sana hasa kwa suala la wamachinga, yaani imekuwa uchafu nchi nzima
 
Tatizo nikwamba watanzania walio wazembe walizoea vya bure, kumchukia Rais magufuri ni kawaida. Lkn wenye akili timu wanatambua hichi inapaswa ifike wapi kwa sasa kwani tulichelewe. Naiman kabisa Rais wetu ni mfano wa kuigwa katika Africa
Hata Kikwete alikuwa Rais wa mfano. Sasa hivi tunamuona garasha. Akitoka huyu ndo garasha zake zitawekwa bayana. Hapo ndo kujitetea kutakuwa kwiingi.
 
Ulisema akijidanganya kuachia madaraka, kwani ni hiari yake kuachia au kusalia?
Hukumsikia naibu supuka juzi bungeni baada ya yule kagi Lugola pati tu kuropoka? Na pia wewe uko tz au mbele mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…