Kivumbi Arusha mjini: Wananchi wanamtaka Mrisho ,Mfumo analazimisha Paul apewe

Kivumbi Arusha mjini: Wananchi wanamtaka Mrisho ,Mfumo analazimisha Paul apewe

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Hii ndio habari ya mjini. Arusha mjini kumewaka moto . Mfumo unalazimisha Makonda apewe , Wananchi wanamtaka gambo aendelee. Je makonda atakubali?
 
Uko wapi uthibitisho, mana umeandika Taarabu
 
Hii ndio habari ya mjini. Arusha mjini kumewaka moto . Mfumo unalazimisha Makonda apewe , Wananchi wanamtaka gambo aendelee. Je makonda atakubali?
Hii vita itakavoamliwa ndio hivo hivo,sijaona Masai,mmeru au walau mbulu kugombea Arusha,Arusha ni kama America Kila mmoja ni muarusha(ameijenga Arusha)

Trump amejaribu kuwatenga black ameshindwa sabu Marekani haina wakuja na mwenyeji(wote ni wazawa)
 
Ccm ndo wanatakiwa kua wa kwanza kudai reforms kwenye chama Chao, huo sioni umuhimu wa kura za maoni za wajumbe wa jimboni, it is just a nonsense election


Wajumbe mnateua mtu anashinda jimboni kwenu, mtu anafurahi wengine wanafanya mpaka sherehe, Bado tena majina yanaenda kamati kuu, walioshinda na walioshindwa, kamati kuu inakuja kurudisha jina la mgombea wanaona wao ni sahihi, hata kama jimboni kwenye kura za wajumbe hakushinda



Ningekua mjumbe nisingepoteza muda hata kupiga hizi kura, ni upotezaji wa muda tu
 
No reforms no election
Nini chanzo Cha vifo kilwa mshana,hii ramli ya no reform naona kama mafanikio yake hayafiki asilimia 3, hebu tiririsha umate mate kwenye Uzi wa kilwa,haya mengine achana nayo Mimi mwenyewe hela ya form ilipelea 50000 Kila mwananchi aliyeniita nigombee nikimpigia anichangie anasema maneno mengi nikaona yann kusumbukia watu wasiojielewa
 
Hao wananchi wanaomtaka mtu anaeenda kukagua uchafu kama huu
Screenshot_2025-07-11-19-21-32-359_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg


nao wana wazimu vile vile
 
Back
Top Bottom