Kivumbi cup ya Wasafi media

Kivumbi cup ya Wasafi media

Sikutegemea watu kama wangeweza kuponda hili jambo, wengine wanaanza kusema kuwa Wasafj wameiga.

Kuiga kitu kizuri kuna ubaya? Leo hii mbona Tz inatumia copy ya katiba ya Uingireza? Mbona USA inaiga vitu vingi toka Russia, na Russia inaiga vingi tu toka America sehemu zingine?

Samsung na Apple walishawahi kupelekana mpaka mahakamani kwa ajili kuigana bidhaa.

Nirudi ktk Mada: Hii pekee inaonesha watanzania ni namna gani tulivyo hatuna akili. Unatazama mambo ya umbea watu kuiga bila kutazama faida ya hilo jambo, naam, nasema Umbea. Hivi mwanaume kweli tena unajiita mpenzi wa mpira unaponda watu kuiga? Unapata wapi muda kuonesha ujinga kama huu?

Tolea mfano mshindi anapata hiyo 20m, hivi ninyi msio na akili namjua huu ni mtaji wa Toyota Hiace, Mgahawa wa heshima, kununua nafaka n.k. Timu ikiamua iwekeze 15m ktk biashara wana uhakika wa kila kulaza 70,000 mpaka 100,000. Baada ya miaka 2 kuanzia uongozi wa timu mpaka wachezaji watakuwa ni wanufaika wa hizi fedha.

Vifaa, posho, matibabu n.k vyote vitatokana na hizi pesa, sasa kuna wanaume wenzetu badala ya kupaza sauti na kutoa ushauri kwa WCB ni namna gani waongeze chache ktk aya mashindano wenyewe wanaongea maneno yasiyo na maana.

Toeni basi hata ushauri kwa timu zinazoshiriki kuhusu fedha wapatazo. Kifupi timu tatu mwaka huu zinapata fedha si chini 10m, jamani hili kweli jambo dogo?

Ndo maana siku hizi Jamiiforums inafananishwa na facebook, sasa nimeanza kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili wasionekane wameiga wangeanzisha ndondo ya basketball. Huko tunauhitaji mkubwa pia. Au volleyball, boxing, michezo ipo mingi. Hawana ubunifu kazi kuigaiga
 
Ili wasionekane wameiga wangeanzisha ndondo ya basketball. Huko tunauhitaji mkubwa pia. Au volleyball, boxing, michezo ipo mingi. Hawana ubunifu kazi kuigaiga
Hata hao clouds wameiba
 
Acha ushamba kaka hakuna kitu kinaitwa kukopi.
Sports Arena inaanza saa2.asubuhi inaisha saa5 wakati Sports HQ inaanza saa 3 hadi saa6 mchana.Bado huoni tofauti?
Kivumbi cup kinapigwa majira haya ya baridi wakati ndondo zinapigwa kiangazi bado huoni tofauti?
Sports Arena Inaruka live youtube wakati Sports HQ ipo redioni tu.
Au kisa imechukua baadhi ya watangazaji watatu tu waliokuwa Efm na kuja wasafi ndo kukopi?au kukopi kisa wanagawa kuwa kivumbi cha1,2 na 3 na kule Efm wanaita neno la 1,2 3?
Kufanana maana yake ni usawa.Unamaanisha sports Hq na sports2 arena ni sawa kitu ambacho sio kweli.

Nadhani hapa kauli nzuri ya kusema ni kutumia neno vinalingana maana vitu kulingana haimaanishi viko sawa[emoji817]%. Lakini hata content ni tofauti kabisa
Clouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.

Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
naona zawadi ya wasafi media imekuwa kubwa kuliko ile ya ndondo cup ya mawingu.
ila wasafi wanastahili pongezi kwa kuzidi kufungua fursa za ajira.

tukipata taasisi kama hizi zaidi ya 100 itatanua wigo wa soka la bongo kukua hadi kufikia nchi zilizo bora kisoka duniani.
 
Acha ushamba kaka hakuna kitu kinaitwa kukopi.
Sports Arena inaanza saa2.asubuhi inaisha saa5 wakati Sports HQ inaanza saa 3 hadi saa6 mchana.Bado huoni tofauti?
Kivumbi cup kinapigwa majira haya ya baridi wakati ndondo zinapigwa kiangazi bado huoni tofauti?
Sports Arena Inaruka live youtube wakati Sports HQ ipo redioni tu.
Au kisa imechukua baadhi ya watangazaji watatu tu waliokuwa Efm na kuja wasafi ndo kukopi?au kukopi kisa wanagawa kuwa kivumbi cha1,2 na 3 na kule Efm wanaita neno la 1,2 3?
Kufanana maana yake ni usawa.Unamaanisha sports Hq na sports2 arena ni sawa kitu ambacho sio kweli.

Nadhani hapa kauli nzuri ya kusema ni kutumia neno vinalingana maana vitu kulingana haimaanishi viko sawa[emoji817]%. Lakini hata content ni tofauti kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna redio iliyokua na vipindi rasmi vya michezo zaidi ya saa moja hii kitu wameanzisha efm tuwape credit zao
 
Hata hao clouds wameiba
OK so its true Wasafi media hawana jipya. Kwanini wasiibue vipaji kwenye michezo mingine? Mfano nawapa idea sasa ,ndondo ya wanawake . itabamba sana. Kuliko kukopi kila kifanywacho na kakayao clouds
 
OK so its true Wasafi media hawana jipya. Kwanini wasiibue vipaji kwenye michezo mingine? Mfano nawapa idea sasa ,ndondo ya wanawake . itabamba sana. Kuliko kukopi kila kifanywacho na kakayao clouds
Media zote zinaiga hata hao clouds ambao hawana hata kipindi kimoja ambacho wamebuni vipindi vyao wamewaiga radio free Africa,East Africa na vipindi vingine wameiga Marekani especially kipindi Cha breakfast.cha msingi hapo ubora wa vipindi ndo vitaongea wa hivyo media
 
Acha chuki lofa wewe.
Kwanini uite binadamu mwenzio takataka bila sababu?
Kama kuiga ni rahisi kama unavyoona kwanini na wewe usiige tuone....amfibia mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha lazima yawe tofauti.

Mmoja anauza nyanya akipata faida anaenda kununua nyama buchani.

Mwingine anauza nguo akipata faida anaenda kununua dagaa sokoni.

Wote tukianza kuigana kufanya KITU KILE KLE Maisha LAZIMA YASIMAME !!!
 
Clouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!
Kama mwisho wa siku vijana watawapa hicho walichokiahidi mi naona poa tu, tena nataka ipp media waige, uhai production waige yaani kila media iige
 
Kuna ubaya gani kuiga kitu kizuri kibaya kuiga mambo mabaya ila kuiga mazur inaruhusiwa mkuu punguza hasira nmegundua ww una vina 7 na na team mawingu & team Ali100 na team Kondeboy. [emoji106] [emoji106]
Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.

Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
 
[emoji106][emoji106][emoji106]

Back
Top Bottom