Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,294
- 1,480
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao clouds wameibaIli wasionekane wameiga wangeanzisha ndondo ya basketball. Huko tunauhitaji mkubwa pia. Au volleyball, boxing, michezo ipo mingi. Hawana ubunifu kazi kuigaiga
Clouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!
Tegesha Tigo ukuingie
naona zawadi ya wasafi media imekuwa kubwa kuliko ile ya ndondo cup ya mawingu.Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
hakuna redio iliyokua na vipindi rasmi vya michezo zaidi ya saa moja hii kitu wameanzisha efm tuwape credit zaoAcha ushamba kaka hakuna kitu kinaitwa kukopi.
Sports Arena inaanza saa2.asubuhi inaisha saa5 wakati Sports HQ inaanza saa 3 hadi saa6 mchana.Bado huoni tofauti?
Kivumbi cup kinapigwa majira haya ya baridi wakati ndondo zinapigwa kiangazi bado huoni tofauti?
Sports Arena Inaruka live youtube wakati Sports HQ ipo redioni tu.
Au kisa imechukua baadhi ya watangazaji watatu tu waliokuwa Efm na kuja wasafi ndo kukopi?au kukopi kisa wanagawa kuwa kivumbi cha1,2 na 3 na kule Efm wanaita neno la 1,2 3?
Kufanana maana yake ni usawa.Unamaanisha sports Hq na sports2 arena ni sawa kitu ambacho sio kweli.
Nadhani hapa kauli nzuri ya kusema ni kutumia neno vinalingana maana vitu kulingana haimaanishi viko sawa[emoji817]%. Lakini hata content ni tofauti kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi mama upate laki 5, hii ni hela ya mshahara kabisa.Ngoja na me nijaribu bahati yangu huenda nikaibuka kipa boraaaaaaa, fursa ndio hizi sasa japo n hater wa hiyo WCB.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK so its true Wasafi media hawana jipya. Kwanini wasiibue vipaji kwenye michezo mingine? Mfano nawapa idea sasa ,ndondo ya wanawake . itabamba sana. Kuliko kukopi kila kifanywacho na kakayao cloudsHata hao clouds wameiba
Media zote zinaiga hata hao clouds ambao hawana hata kipindi kimoja ambacho wamebuni vipindi vyao wamewaiga radio free Africa,East Africa na vipindi vingine wameiga Marekani especially kipindi Cha breakfast.cha msingi hapo ubora wa vipindi ndo vitaongea wa hivyo mediaOK so its true Wasafi media hawana jipya. Kwanini wasiibue vipaji kwenye michezo mingine? Mfano nawapa idea sasa ,ndondo ya wanawake . itabamba sana. Kuliko kukopi kila kifanywacho na kakayao clouds
hakuna redio iliyokua na vipindi rasmi vya michezo zaidi ya saa moja hii kitu wameanzisha efm tuwape credit zao
Acha chuki lofa wewe.Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Haswaaaaaaaah naepuka kuwapiga mizinga pedesheheeeeezJitahidi mama upate laki 5, hii ni hela ya mshahara kabisa.
Maisha lazima yawe tofauti.Acha chuki lofa wewe.
Kwanini uite binadamu mwenzio takataka bila sababu?
Kama kuiga ni rahisi kama unavyoona kwanini na wewe usiige tuone....amfibia mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwisho wa siku vijana watawapa hicho walichokiahidi mi naona poa tu, tena nataka ipp media waige, uhai production waige yaani kila media iigeClouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!
Wasafi Media ni Clone ya Clouds FM.
Wanaiga Kila Kitu. Takataka Kabisa
Naona haya mashindano yatakuwa ni hatari sana alafu zawadi ni kubwa sana hadi nimeshangaa,
Wcb hawa jamaa wanataka kupindua meza kibabe
cityzen chairman am here
Media zote zinaiga hata hao clouds ambao hawana hata kipindi kimoja ambacho wamebuni vipindi vyao wamewaiga radio free Africa,East Africa na vipindi vingine wameiga Marekani especially kipindi Cha breakfast.cha msingi hapo ubora wa vipindi ndo vitaongea wa hivyo media