Kivumbi cup ya Wasafi media

Kivumbi cup ya Wasafi media

[emoji107][emoji107][emoji107]
Clouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!
 
Tatizo wabongo tuna wivu sana hatutaki mtu afanikiwe tunapenda kuona maisha ya watu wanarudi nyuma umaskini na roho mbaya ndo unatusumbua
Me mwenyewe nimeshangaa msela hiyo ndio platform wa vijana kuonekana na kupata kipato we fikiria wasafi wametoa fursa atakwawanaoibuka man of the match, wamesema ataeibuka man of the match atapata laki 5 hapo ujazungumzia beki Bora, kiungo Bora, mchambuliaji Bora,kipa bora.kwa maana Hiyo wametoa fursa pana kupata mpunga Mfano ukiibuka man of the match Mara 2 tu unapata mil 1 hiyo ni hela kubwa Sana.
 
Back
Top Bottom