Wiwachu
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 809
- 924
[emoji107][emoji107][emoji107]
Clouds Tv ilipoanza vipindi vingi ilikopi EATV, Redio wasafi ilipoanza walikopi muda wa vipindi vya michezo kutoka EFM. Sasa wamekopi ndondo cup ya Clouds na kuiita Kivumbi cup halafu we unasema wazo kapata kwa Eto'o? Ahahaha. Ubunifu zero!