kivumbiiii

Ina maana mtangazaji hatambui utamaduni wetu wa uswazi? na hajui kuwa necha ni mswazi?
 

well said mkuu, ustaarabu ndo kila kitu aftreall kila ofisi ina sheria, kanuni na taratibu zake eti kisa TMK sijui uanaume halisi ndo uvae unavyotaka kwny ofisi ya watu na kumtungia nyimbo wakati kafuata utaratibu wa kazi yake huo ni ushamba na ulimbukeni tu
 
Mijeusi kwa kujiumbua yenyewe kwa yenyewe bwana!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Umeongea point sana
 
Ndala ni za kuendea bafuni, chanel five wapo sahihi. hata makao makuu ya JWTZ Ngome ukienda umevaa Jeans huruusiwi kuingia getini. kila sehemu na utaratibu wake. Miaka ya nyuma nilishawahi kukataliwa kuingia Le Grand Casino nilikuwa nimevaa pensi.
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…