FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
:coffee:hapa nimejikuta natabasamu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juma nature ndio nani?
Guyz, EATV hamna kipindi kama hicho. Kipindi ninachofahamu mimi kinaitwa Friday Night Live na siyo Saturday Night Live. Sometimes tusiwe tunatetea au kuunga mkono ujinga. Kweli mtu uingie studio umevaa malapa, pensi na umelewa halafu mtangazaji akuchekee tu! Tusiwe tunadharau ofisi za watu eti kisa we msanii. Ustaarabu ni kila kitu. Angekuwa amevaa vizuri na kichwani yuko vizuri angerudishwa? kwani ni mara ngapi amekuwa akifanya interviews kwenye kipindi hicho hicho akiwa yuko sawa bila kurudishwa?
NB: Zaidi ya kumjua Sam kupitia vipindi anavyoendesha, sina uhusiano wowote naye. Kama vipi na yeye ajitokeze aeleze yake.
Duh kwa hiyo nature bia zinamtia uchizi?ata ningekuwa mimi nisinge kuruusu ungeishia uko uko mapokezi juma ni wenge za bia zina mtatizaa.
Umeongea point sanawell said mkuu, ustaarabu ndo kila kitu aftreall kila ofisi ina sheria, kanuni na taratibu zake eti kisa TMK sijui uanaume halisi ndo uvae unavyotaka kwny ofisi ya watu na kumtungia nyimbo wakati kafuata utaratibu wa kazi yake huo ni ushamba na ulimbukeni tu
Sahihi kabisaNdala ni za kuendea bafuni, chanel five wapo sahihi. hata makao makuu ya JWTZ Ngome ukienda umevaa Jeans huruusiwi kuingia getini. kila sehemu na utaratibu wake. Miaka ya nyuma nilishawahi kukataliwa kuingia Le Grand Casino nilikuwa nimevaa pensi.
Waoo..!! upo kumbe..!!Mh!
Pengine hata kupajua hupajui.
Usiyempenda Kaja
Ndio, na mpaka leo bado mjingamjinga tu.2013???