Baraka DSM
Member
- Sep 12, 2017
- 68
- 76
Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito.
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke ujuzi wake pale wa kuchakata kitu kikali?
Kiwanda bubu cha mawese its ok, unajua huyu asaidiwe apelekwe SIDO ana ujuzi sana na mjasiria mali mzuri na maneno mazuri kibao. Hii sio sawa kabisa ni DOUBLE STANDARD na sisi wanywaji tunataka viwanda bubu vinavyotunywesha vitetewa kwa nguvu zote kama hiki cha Mawese. HATUKUBALI KAMWE kama mbwai na iwe mbwai.
Tunakuomba Mhe. Dkt. Ashatu K. Kijaji uwasidie na wenye viwanda bubu vya Pombe kama Bashe alivyofanya.