Tatizo sio product mawese bali ni processing..., wewe kutengeneza juice ya ukwaju nyumbani kwako (ukachemsha maji n.k. au hata usipochemsha) mkanywa na kuleta madhara kwenu ni tofauti na juice ile ya ukwaju ukiwauzia mtaa mzima (hapo lazima viwango viwe bora) uhakikishe unatengeneza kwa usafi usijeleta madhara kiafya kwa mtaa mzima....
Na huko ndipo tunapoelekea labelling na kuhakikisha viwango kwenye chakula cha kulisha jamii vipo sawa (kuna watu wapo allergic mfano na karanga) kwahio muuzaji ana wajibu wa kutoa information ya kila kilichomo kwa kwa kila mlaji....,
Viwanda / Kiwanda sio lelemama hususan linalohusu afya za watu (ndio maana aende Sido ili apate miongozo ambayo itakuwa faida sio kwake tu bali kwa walaji pia)