Baraka DSM
Member
- Sep 12, 2017
- 68
- 76
- Thread starter
- #21
Ujinga ni nyumbani kwenu lakin serikali yako inajua umhimu wa hii kituUnalinganisha Mafuta ya Mawese na Ujinga ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni nyumbani kwenu lakin serikali yako inajua umhimu wa hii kituUnalinganisha Mafuta ya Mawese na Ujinga ujinga
Nani umemuona katumia mafuta ya mawese akadhurika
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
chapati uliyokula asubuhi ya leo ina tbs?Kwahiyo kukiwa na uhaba wa mafuta wafanyabiashara wazalishe chochote na sisi tutumie chochote bila kujali hata kama ni hatari?
Mkuu magonjwa mengi yanayopata watu sasa na matatizo mengi ni sababu ya kula vyakula visivyo na viwango, kunaweza kutokea contamination inayoweza kugharimu jamii nzima....ulishamuona Nani katumia mafuta ya mawese AKADHULIKA?
Ila pombe kila siku tunasikia zinaua asa gongo .
chapati uliyokula asubuhi ya leo ina tbs?
kwa taarifa yako simu nyingi za kichina unazozikimbilia kkoo hakuna anayezipima kiwango cha mionzi ila unanunua,Ukishakufa ndio utafuata sheria
Wamesahau hadi thread za wadada kuuliza wale WANAUME WANAOUNGANISHA HAD VITATU WAKO WAPI SIKUHIZI? Hzo ni effects za mavyakula yetu.Mkuu magonjwa mengi yanayopata watu sasa na matatizo mengi ni sababu ya kula vyakula visivyo na viwango, kunaweza kutokea contamination inayoweza kugharimu jamii nzima....
Narudia viwanda bubu sio sawa kabisa..., ila kusaidiwa ni jambo la muhimu, na kufuata sheria na taratibu ni muhimu pia.... When it comes to people's healthy tusi-cut corners
mimi ugali napikia kwenye chungu cha udongo hakina tbs,acha kujifanya wazungu wa ilala basiHata ugali aliokupikia mkeo hauna tbs ila sufuria alizotumia, gas aliyopikia vina tbs
Jielewe
kwa taarifa yako simu nyingi za kichina unazozikimbilia kkoo hakuna anayezipima kiwango cha mionzi ila unanunua,
kwanini hajatengeneza mbongo.
mimi ninachokiona hapa kwa asilimia kubwa ni WIVU
Fanya mlinganisho wa magonjwa ya sasa na zamani uone ni lini magonjwa yameongezeka. Mafuta ya mawese sio product mpya hapa nchiniMkuu magonjwa mengi yanayopata watu sasa na matatizo mengi ni sababu ya kula vyakula visivyo na viwango, kunaweza kutokea contamination inayoweza kugharimu jamii nzima....
Narudia viwanda bubu sio sawa kabisa..., ila kusaidiwa ni jambo la muhimu, na kufuata sheria na taratibu ni muhimu pia.... When it comes to people's healthy tusi-cut corners
wewe usiyekuwa mjinga unaishi huku kwa wajinga kufanya nini?Kakuambia nani natumia simu za kichina za kariakoo?
Halafu kama unazijua hazijapimwa fuata taratibu za kureport kwa kuilinda afya yako. Acha ujinga wa kutetea ujinga na kuwaambia wanakuambia ukweli wana wana wivu
Tatizo sio product mawese bali ni processing..., wewe kutengeneza juice ya ukwaju nyumbani kwako (ukachemsha maji n.k. au hata usipochemsha) mkanywa na kuleta madhara kwenu ni tofauti na juice ile ya ukwaju ukiwauzia mtaa mzima (hapo lazima viwango viwe bora) uhakikishe unatengeneza kwa usafi usijeleta madhara kiafya kwa mtaa mzima....Fanya mlinganisho wa magonjwa ya sasa na zamani uone ni lini magonjwa yameongezeka. Mafuta ya mawese sio product mpya hapa nchini
na tunayala hata kwa kuyakamulia kwenye chakula moja kwa moja. nini kipya hapo?
Akishaachana na kesi ya copyright infringement dhidi ya Konyagi ndio atafute kusaidiwaNimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito.
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke ujuzi wake pale wa kuchakata kitu kikali?
Kiwanda bubu cha mawese its ok, unajua huyu asaidiwe apelekwe SIDO ana ujuzi sana na mjasiria mali mzuri na maneno mazuri kibao. Hii sio sawa kabisa ni DOUBLE STANDARD na sisi wanywaji tunataka viwanda bubu vinavyotunywesha vitetewa kwa nguvu zote kama hiki cha Mawese. HATUKUBALI KAMWE kama mbwai na iwe mbwai.
Tunakuomba Mhe. Dkt. Ashatu K. Kijaji uwasidie na wenye viwanda bubu vya Pombe kama Bashe alivyofanya.
Mkuu magonjwa mengi yanayopata watu sasa na matatizo mengi ni sababu ya kula vyakula visivyo na viwango, kunaweza kutokea contamination inayoweza kugharimu jamii nzima....
Narudia viwanda bubu sio sawa kabisa..., ila kusaidiwa ni jambo la muhimu, na kufuata sheria na taratibu ni muhimu pia.... When it comes to people's healthy tusi-cut corners
Yaani wewe ni wa kuonewa huruma tu. Unalinganisha pombe na mawese, kweli?Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito.
Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe.
Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke ujuzi wake pale wa kuchakata kitu kikali?
Kiwanda bubu cha mawese its ok, unajua huyu asaidiwe apelekwe SIDO ana ujuzi sana na mjasiria mali mzuri na maneno mazuri kibao. Hii sio sawa kabisa ni DOUBLE STANDARD na sisi wanywaji tunataka viwanda bubu vinavyotunywesha vitetewa kwa nguvu zote kama hiki cha Mawese. HATUKUBALI KAMWE kama mbwai na iwe mbwai.
Tunakuomba Mhe. Dkt. Ashatu K. Kijaji uwasidie na wenye viwanda bubu vya Pombe kama Bashe alivyofanya.
Ukishakufa ndio utafuata sheria
Hata huko viwandani ni mafuta kama ya mawese wanayafanyia processing..., ukichuma kutoka kwenye mti ni tofauti na value addition ambayo kuna vitu wanaweka labda kuongeza shelf life, kuna packaging ambayo ikiwa kuna contamination inaweza kuleta madhara..., labda katika ukamuaji vyombo ni vichafu n.k.Hauwezi kufananisha mafuta ya mawese na mafuta ya viwandani.
ndio maana hii nchi haikui kiviwanda,!! fitina fitina,tujifunze ku appreciate ubunifu wenye tija kwa taifa!!, mtu kabuni kiwanda chake Cha kuchakata mafuta mnataka akamatwe na kushtakiwa.badala ya kusapoti mawazo yake!! kwa ujinga huu,mtaendelea kuwategemea China kwa kila Jambo,Hadi medula oblangata zenu zikae sawa!Wanaingiza siasa kwenye mambo sensitive. Subiri utitiri wa viwanda vya bidhaa feki uanze, si watawasaidia wote tu.